Vera Sidika kabla na baada ya kutumia vipodozi

Vera Sidika kabla na baada ya kutumia vipodozi

Mtu mjanja anachezewa papuchi hata na msanii wa bongo fleva? Huyu amekuwa demu wa dharura ama togwa ya msibani inayochotwa na kila mtu mchafu mwenye kiu. Sasa angalia kachoka kutoka na wanaume amekwenda kutoka na mse.nge a.k.a. Caitlyn Jenner ili amfile, si balaa hii tena?
Nani kaenda kutoka na catlyn?vera?hebu nipe ubuyu
 
Kuna mchina alimshtaki mke wake kuwa kamzalia watoto wenye sura mbaya kumbe alifanya surgery kabla hawaja jenga mahusiano,na kwann alimficha wakati alikuwa ana sura mbaya mwanzon!
 
Kuna mchina alimshtaki mke wake kuwa kamzalia watoto wenye sura mbaya kumbe alifanya surgery kabla hawaja jenga mahusiano,na kwann alimficha wakati alikuwa ana sura mbaya mwanzon!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hiyo ni kali aisee
 
Pia waweza kuwa mweupe ukazaa mtoto mweusi
Na weusi pia huzaa watoto weupe


Labda sijaweka mistari vizuri nieleweke. Ni hivi, mwanamke mweusi anayejichubua ili aonekane mzungu na mumewe mweusi kamwe hawawezi kuzaa mtoto chotara/mzungu. Kama mwanamme ni mweupe sawa kwani hapo kutakuwa na probability 50 - 60% ya mtoto wao kuwa mweupe. Ila biologically, huwezi kuwa mweusi na mumeo mweusi mkaja kuzaa mtoto chotara....kadanganye wengine ama endelea tu kujipa matumaini ya kijinga. Ujinga huu unafanywa na wanawake wachepukaji, kaolewa na mtu mweusi kisha anatoka na mwarab, shombe, na kumpakazia mumewe kuwa mtoto ni wake.
 
Back
Top Bottom