Venezuela yashambuliwa na Marekani

Venezuela yashambuliwa na Marekani

RRONDO

Platinum Member
Joined
Jan 3, 2010
Posts
57,678
Reaction score
129,264


Kuna milipuko mikubwa imetokea mji mkuu wa Venezuela, Caracas. Inaelekea wizara ya ulinzi imeshambuliwa. Bado taarifa rasmi kuhusu shambulio hilo hazijatolewa.
20260103_101025.jpg

Updates:Baada ya mashambulizi yq masaa kadhaa USA wamemkamata nq kumchukua Rais Maduro wa Venezuela. Yuko njiani kupelekwa USA.
 
👇



 
USA anatumia ubabe kutaka kuchukua mafuta bure huko Venezuela na Iran utajiri wao ni wa kuua raia wengine ili wao waishi njema sio.

Wapo karibu sana na maandamano ya Iran kwa sababu ya mafuta.
 
Back
Top Bottom