Vazi la Khanga kwa wadada wa Kitanzania linavutia

Hehehehee kwan kitenge inatofautiana nin na kanga lakin unao wa kuvalia dera mamaa
Khanga ndogo kitenge kinakua kikubwa hasa matenge Yale ya zamani

Ningekua na kamwili unadhani ningevaa hayo madira?
 
Huyu demu ni mke wa soja, kipindi Cha nyuma alikua anaishi Kota za mabatini. Amezaliwa wilaya ya magu. Nilishawahi kumgegeda miaka hiyo akigombania shidano la miss orange tree pale mabatini mwanza.
Hapo sasa ni weekend, kitu kimetulia hivi.....alaa unde wapi mwanaume tena......!! ha ha ha

View attachment 1163292
 
Huyu demu ni mke wa soja, kipindi Cha nyuma alikua anaishi Kota za mabatini. Amezaliwa wilaya ya magu. Nilishawahi kumgegeda miaka hiyo akigombania shidano la miss orange tree pale mabatini mwanza.
Huyu dada maarufu uko insta ni mke wa mtu?
 
Hongera usibongeke had ukashindwa vaa tenge pia, tutakupeleka kiwandani sasa

😂😂😂 siwez kbs..mie hata nile nini..nanenepa ndyo ila nanenepa sehem maalumu...hunikut nna kono kulee..sijui shingo imetitia😂😂...!...hahhaa...mie unene unakimbilia chini zaidi..ila na nyonyo huwa inakuwanzitooo😂😂😂🙌🙌🙌😏😏😏
 
Back
Top Bottom