Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 20,722
- 45,129
Haya wale wachambuzi wetu, wataalam wa soka la Ulaya, tuambiane nafasi ambayo Kiungo mpya wa Man Utd kutoka Ajax ataaenda kucheza? Je, atachukua nafasi ya nani? Je, anaweza akaleta balance kwenye timu?
Karibuni
Karibuni