Van De Beek 'VDB' anaenda kucheza nafasi ya nani Man Utd?

Fred na McTominay watafute pa kwenda. Fred tayari anatakiwa na timu mbili za Italia. Nahisi Man U watamtoa Fred ili kumpa nafasi De Beek.

Pogba sidhani kama atafunguliwa mlango.

Mimi kama shabiki wa Arsenal nasubiri komedi za uwanjani tu nije kucheka humu.
United wamtoe Fred ili kumpa nafasi vdb?..are you serious?
 
Kiukweli Jamaa alisajiliwa ila halikiwa hitaji kuu la Man U kulingana na mapungufu yaliyopo pale. Labda tu ile kusema kupanua kikosi hasa upande wa viungo washambuliaji.

Maana una viungo wa aina hiyo kama Pogba na Bruno na bado unaenda kuongeza tena kiungo wa aina ile ile wakati bado uko na shida na kiungo mkabaji. Yule jamaa aloenda Arsenal toka Atletico ndio aina ya kiungo man pia walimuhitaji sana kuliko hata Van Beek.
Partey is trash..Below standard.
 
Back
Top Bottom