Van De Beek 'VDB' anaenda kucheza nafasi ya nani Man Utd?

Nilishangaa man u wanavofurahia usajili wa vdb wakati huyo dogo kazidiwa kila kitu na mctominay.
 
Fred na McTominay watafute pa kwenda. Fred tayari anatakiwa na timu mbili za Italia. Nahisi Man U watamtoa Fred ili kumpa nafasi De Beek.

Pogba sidhani kama atafunguliwa mlango.

Mimi kama shabiki wa Arsenal nasubiri komedi za uwanjani tu nije kucheka humu.
Mkuu Mctominay ni mzuri kuliko huyo vdb
 
Mkuu Mctominay ni mzuri kuliko huyo vdb
Ona hapa.

Hizi ni takwimu za 19/20

-Magoli-
De Beek 8
Scott 4

-Assisst-
De Beek 5
Scott 1

-Minutes per goal/ assisst-
De Beek 147.4
Scott 354.4

-Nafasi zilizotengenezwa-
De Beek 1.9
Scott 0.8

-% ya dribo zilizokamilika-
De Beek 62.5
Hapa Scott hayupo kabisa.

-Usahihi wa Pasi-
De beek 82.2
Scott 80.9

-% tackles zilizofanikiwa-
De Beek 75.9
Scott 75.9

-Intercepetions-
Scott 1.6
De Beek 0.8

Kwa hizo takwimu tunasemaje hapo?
 
Ona hapa.

Hizi ni takwimu za 19/20

-Magoli-
De Beek 8
Scott 4

-Assisst-
De Beek 5
Scott 1

-Minutes per goal/ assisst-
De Beek 147.4
Scott 354.4

-Nafasi zilizotengenezwa-
De Beek 1.9
Scott 0.8

-% ya dribo zilizokamilika-
De Beek 62.5
Hapa Scott hayupo kabisa.

-Usahihi wa Pasi-
De beek 82.2
Scott 80.9

-% tackles zilizofanikiwa-
De Beek 75.9
Scott 75.9

-Intercepetions-
Scott 1.6
De Beek 0.8

Kwa hizo takwimu tunasemaje hapo?
Kwahiyo unaangali statistics za ligi ya uholanzi unalinganisha na Epl?

Epl Mc tominay anakutana na mafundi watupu katikati kwenye kiungo pale uje ulinganishe na uholanzi?

Fikiria mctominay katikati ya uwanja anakutanaga na watu kama
1.Jorginho 2. Kante 3. Xhaka 4. Fabinho 5.Rodrigo
Huyo VDB wachezaji anaokutana nao ni wa kawaida kabisa.
 
Duh kwa hiyo Ballon D'Or inapokutanisha wachezaji wa ligi zote hua wanakosea eeh? Au hizi tuzo na michuano ya UEFA ni miyeyusho pia eeh?

Ebwana we jamaa una akili sana sikuwahi kufikiria hivi. Mi naona Man U vinabo pia au we unaonaje?
 
Labda midfield ipangwe holding mmoja
double eight pogba na vbd na inside 10 Bruno kisha hakuna namba tisa winger zichezee ndani au kutanua kwa zamu
 
Kwahiyo unaangali statistics za ligi ya uholanzi unalinganisha na Epl?

Epl Mc tominay anakutana na mafundi watupu katikati kwenye kiungo pale uje ulinganishe na uholanzi?

Fikiria mctominay katikati ya uwanja anakutanaga na watu kama
1.Jorginho 2. Kante 3. Xhaka 4. Fabinho 5.Rodrigo
Huyo VDB wachezaji anaokutana nao ni wa kawaida kabisa.
Kwahiyo mkuu! Lingard ni bora kuliko Messi au ni bora kuliko wachezaji wote wa Ligi ya Eredivisie!?
 
Duh kwa hiyo Ballon D'Or inapokutanisha wachezaji wa ligi zote hua wanakosea eeh? Au hizi tuzo na michuano ya UEFA ni miyeyusho pia eeh?

Ebwana we jamaa una akili sana sikuwahi kufikiria hivi. Mi naona Man U vinabo pia au we unaonaje?
Ballon d or ina vigezo tofauti na tunachokiongelea hapa.
 
Sasa lingard anahusika vipi na hii mada?
Labda ufungue uzi mpya tuanze kujadili hili.
Kama ni hivyo! Wasingekuwa wanaweka Statistics kwa kigezo cha ligi au watu anaokutana nao! VDB pia alikutana na viungo wazuri pia UEFA. Real Madrid, Juventus, Tottenham na nyinginezo.
 
Kama ni hivyo! Wasingekuwa wanaweka Statistics kwa kigezo cha ligi au watu anaokutana nao! VDB pia alikutana na viungo wazuri pia UEFA. Real Madrid, Juventus, Tottenham na nyinginezo.
Sawa mkuu
Lakini angalia stats za hazard unaweza amini hazard leo anaanza mechi na unaweza usijue kama yupo?
Angalia stats za Bale lakini leo bale hata bench hakai
Angalia stats za Bakayoko lakini alichemka chelsea
Angalia stats za Depay kipindi anakuja man u lakini alichemka
Angalia stats za soldado lakini alichemka vibaya
Angalia za keita lakini leo hapati nafasi liverpool
Mifano ni mingi sana

Hizi stats mara nyingi zinategemeana na mchezaji anacheza wapi na aina ya wachezaji alio nao kwenye timu.
 
Ballon d or ina vigezo tofauti na tunachokiongelea hapa.
Nilifikiri na wenyewe wanaangalia takwimu ambazo wewe umesema hazina maana kwakua watu wanacheza ligi mbili tofauti.

Au wanaangalia nini?
 
Dvb yuko vizur atacheza kiungo cha chin kabisa apo Fred na pereira kaz wanayo matic Ndo kabisa atafute PA Kwenda tu
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom