Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 32,010
- 64,056
Hahaha wewe jamaa kumbe upo serious katika hili unalopinga!!?Sawa mkuu
Lakini angalia stats za hazard unaweza amini hazard leo anaanza mechi na unaweza usijue kama yupo?
Angalia stats za Bale lakini leo bale hata bench hakai
Angalia stats za Bakayoko lakini alichemka chelsea
Angalia stats za Depay kipindi anakuja man u lakini alichemka
Angalia stats za soldado lakini alichemka vibaya
Angalia za keita lakini leo hapati nafasi liverpool
Mifano ni mingi sana
Hizi stats mara nyingi zinategemeana na mchezaji anacheza wapi na aina ya wachezaji alio nao kwenye timu.
Kwahiyo kwakua kuna players wamefeli kwingine na wakafaulu kwingine ndiyo tunasema ligi aliyoshine ni kinabo kwakua kwenye ligi nyingine alifubaa?
Hahaha dah hatari mzee hoja zako ni noma.
Enhe unajua Kua Bruno Fernandes kamzidi mbali mno Scott? Na unajua ligi na timu anayotokea Fernandes? So unataka kusema ligi ya Ureno inalingana ubora na epl? Na imeiacha mbali kwa ubora eredivisie?
Last time kuona klabu ya Ureno ikishandania trophy ya level ya dunia ni lini?
Kama skauti wangekua hawashughuliki na takwimu Haaland asingekuepo BVB, Mbape asingekuepo PSG, Neymar asingefika Barca, Suarez asingeenda Liva, Auba angekua Rennes bado...
Kitu kikubwa katika mpira unataka kukielezea kimasihara.