Van De Beek 'VDB' anaenda kucheza nafasi ya nani Man Utd?

Kwahiyo unaangali statistics za ligi ya uholanzi unalinganisha na Epl?

Epl Mc tominay anakutana na mafundi watupu katikati kwenye kiungo pale uje ulinganishe na uholanzi?

Fikiria mctominay katikati ya uwanja anakutanaga na watu kama
1.Jorginho 2. Kante 3. Xhaka 4. Fabinho 5.Rodrigo
Huyo VDB wachezaji anaokutana nao ni wa kawaida kabisa.
Wewe jau sana Don kacheza game za UEFA mwaka jana kaitoa Madrid angalia viungo wake juventus n.k alafu unalinganisha na takataka
 
wewe jamaa Ton kroos wa kawaida? sio unaikumbuka Ajax iliyotoa vigogo UEFA? alicheza mechi zote
 
Man u kama wapo serious wamuuze pogba majipu Real Madrid akapotezwe na viungo wa betis, eibar, sevilla, celtavigo. Huyu jamaa namuonaga mzigo kweli, akipoteza mpira akabi. Ila yule dogo fred abaki anapambana sana.
 
Sometimes mtu kama Pogba unabaki naye kwa sababu za kiuchumi pia. Halafu nimemuona akicheza na Fernandes timu ya Man U inabalansi fulani hivi katikati. Scott ni mScotland so ni fair kusema atabebwa na utaifa wake kuliko Fred.
 
Shida ya mashabiki maandazi wao wanajuaga ulaya ligi ni EPL tu zingine hazina hadhi. Jibu ni hiviiii, ligi bora na dream league ni NBA tu. Mpira wa miguu ulaya ligi zote ngumu.
Jamaa yupo serious anakazana kugomea takwimu.
 
Wewe jau sana Don kacheza game za UEFA mwaka jana kaitoa Madrid angalia viungo wake juventus n.k alafu unalinganisha na takataka
Kwahiyo na msimu huu walivoishia makundi je unasemaje?
Walivochemka europa nako?
 
Timu inachezesha viungo wote 3 kwa pamoja,,van de beek akitokea kulia ,,chini ya Sancho,,au greenwood,,Fernandez anatokea kushoto chini ya martial, pogba anakuwa nyuma yao,,
Ila wanacheza wote watatu kwa pamoja,,kupata magoli zaidi

Chini Ya Snacho Eti
 
Chini Ya Snacho Eti
Sancho ndy,,kwn hujuwi kama man u wanasubiriwa kumalizana na Dortmund ?deal la Sancho not over yet mkuu..
Ni muda tu...bado Sancho ni top target kwa man u..
Kama hatofanikiwa basi van de beek atacheza chini ya greenwood...
 
Kwahiyo unaangali statistics za ligi ya uholanzi unalinganisha na Epl?

Epl Mc tominay anakutana na mafundi watupu katikati kwenye kiungo pale uje ulinganishe na uholanzi?

Fikiria mctominay katikati ya uwanja anakutanaga na watu kama
1.Jorginho 2. Kante 3. Xhaka 4. Fabinho 5.Rodrigo
Huyo VDB wachezaji anaokutana nao ni wa kawaida kabisa.
hao mafundi watupu wakikutana na sevilla au bilbao mbona wanachezeaga nje ndani
 
Timu inachezesha viungo wote 3 kwa pamoja,,van de beek akitokea kulia ,,chini ya Sancho,,au greenwood,,Fernandez anatokea kushoto chini ya martial, pogba anakuwa nyuma yao,,
Ila wanacheza wote watatu kwa pamoja,,kupata magoli zaidi
Hii timu hii bwana, vituko sana. Magoli mengi huyapati kwa kuchezesha "washambuliaji" wengi. Kumbe ndiyo sababu hata kocha akiwa goli 2 nyuma, mchezaji mmoja pungufu, na anacheza na Mourinho aliendelea kuwa attack minded! Mourinho aliwashindia mechi nyingi akiwa na viungo wawili tu Matic na Pogba sasa hivi timu inataka kucheza na viungo wote uwanjani. Mwaka huu hii timu inaweza kabisa kushuka daraja.
 
Kiukweli Jamaa alisajiliwa ila halikiwa hitaji kuu la Man U kulingana na mapungufu yaliyopo pale. Labda tu ile kusema kupanua kikosi hasa upande wa viungo washambuliaji.

Maana una viungo wa aina hiyo kama Pogba na Bruno na bado unaenda kuongeza tena kiungo wa aina ile ile wakati bado uko na shida na kiungo mkabaji. Yule jamaa aloenda Arsenal toka Atletico ndio aina ya kiungo man pia walimuhitaji sana kuliko hata Van Beek.
 
Fred na McTominay watafute pa kwenda. Fred tayari anatakiwa na timu mbili za Italia. Nahisi Man U watamtoa Fred ili kumpa nafasi De Beek.

Pogba sidhani kama atafunguliwa mlango.

Mimi kama shabiki wa Arsenal nasubiri komedi za uwanjani tu nije kucheka humu.

Back
Top Bottom