beibe nasty
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 1,640
- 525
- Thread starter
- #21
acha dharau dogo huyo ndo bwashem sasa na ndo anaenipa paja coz nilichoshwa na vipapatiobeibe jamani, huna macho.??? vijana wote ndo umeona pale..
acha dharau dogo huyo ndo bwashem sasa na ndo anaenipa paja coz nilichoshwa na vipapatiobeibe jamani, huna macho.??? vijana wote ndo umeona pale..
Upo we bwanaJeiEfuu bwana......! Utadhani kweli kumbe....
acha dharau dogo huyo ndo bwashem sasa na ndo anaenipa paja coz nilichoshwa na vipapatio
valu valu maana yake wasiwasi?
i love that song
Hehee halafu shem nimemmiss sweetheart hadi naumwa na namtafuta hapatikani....!
Amyner mylove uko wapi mpenzi wangu?
Kwan we leo kunani?kila cku unamtafta wewe tu, mbona yeye hakutafuti banah...
Valu valu wa Dr. Chameleon na sio baru baru
judgement ndo nani huyo.!??
kila cku unamtafta wewe tu, mbona yeye hakutafuti banah...
mekaa hapa roho hainipi kabisaa nkasema laahasha yabid niingie humu maana my judgement sijawasiliana nae leo saana kwakweli sasa wale mliokuwa mnajifanya mnamkeep busy baasi mwenye mali ndo nshatua maana nilikuwa nahisi kama kuna vibaka. Za jioni lakin jaman
Kuna mtu alijua lile songi linaitwa barubaru haaaaa
asie kuwepo na lake halipo. njoo kwangu mpenzi wangu nakuita.
mtu mwenyewe hajatulia. nmemkuta akirorororo na visichana vingine. yana vimemkeep busy kinoma halafu anasema eti kakuweka kiganjani. karibu. Mia

Mzee wa mia. Umerudi? Miss u...
Karibu tena....
Bado mzee wa nalogoff sijui atafunguliwa lini....