valuvalu[wasi wasi]

finally u here tanx God maaana 52 alikua hana hali bt now anasome relief. haya 52 wapi upo mkeo ndo huu hapa
Dah beibe nasty siunajua leo mambo ya church!
Ila nilishamuona na niko nae hapa....karibu tutoke pamoja kama unapenda!
 
Last edited by a moderator:
beibe nasty nambie my shostito, mwenzio c nikaenda musoma M'Jr c akanichunia! nimerudi zangu nimekuwa mdogo km piriton. . . cjui ndo kalipiza kisasi kwa vile ckumtafta alivokuja?

Heheheheeee pole shosti muache huyoo anataka kutumiwa kikosi cha mizinga kama sio gari la maji ya kuwasha
 
Last edited by a moderator:
Masikin pole inavoonyesha unausongo duuh bas tena mie nshazimika kwa jg full stop

kweli nina usongo na wewe, umejuaje? wewe zimika tu, ukija kuwaka utanikuta nimekusubili. Hiyo njia umepotea sana. Watakufanya uwe una lalamika hadi lini? koti likikubana unalivua. Mia
 
kweli nina usongo na wewe, umejuaje? wewe zimika tu, ukija kuwaka utanikuta nimekusubili. Hiyo njia umepotea sana. Watakufanya uwe una lalamika hadi lini? koti likikubana unalivua. Mia

We vipi ? Unatuchungulia nini ? Unaemwambia hapa niko nae na ndo ananivulia kabati !
Aaah gosh!
Kumbe ww unaongelea vya kuvua Koti ? Sie hapa tunavuana makabati.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom