valuvalu[wasi wasi]

Natafutiwa utamu wangu mazee!
Kama wewe hutafutwagi means utamuless au umepitiliza muda best before....!
Eventhough hujachelewa ntafute nikukwingishe! Nao waliokubwaga watakurejea.
Changamka sasa fasta! Nakungwisha kwa kurisiti !

enh wewe yan Erickb52 anakutaftia utam wako.!!?
 
mekaa hapa roho hainipi kabisaa nkasema laahasha yabid niingie humu maana my judgement sijawasiliana nae leo saana kwakweli sasa wale mliokuwa mnajifanya mnamkeep busy baasi mwenye mali ndo nshatua maana nilikuwa nahisi kama kuna vibaka. Za jioni lakin jaman

Walaaa! Mshipa wa nafsi usikugonge malove!
Nshavinjari bucha kadhaa, nikakuta Nyama ni same! Bt tofauti mapishi ! Mpishi ndo mwenye option ya ata'make nini, ama iwe :
NyamaChoma au
Ya kusaga beef au Mshkaki, au Mchemsho, au Rost , nami kwako umenichagulia Rost ! Tena Rost asilia !
Nna pakwenda?
Sina!
Mwisho wa lami wangu uko kwako.
Unalo la ziada baada ya haya?
 
enh wewe yan Erickb52 anakutaftia utam wako.!!?

No no! Hujanisoma vizuri, nimekwambia mimi natafutwa kwa ajili ya utamu wangu!
Anae ntafuta ana utamu wangu! Na mimi nina utamu wake!
Utamuuuu!
Una swali jingine? Leta fasta!
Kabla sijaingia eneo la kuutamushwa.
 
Kama unajiamini anza kusubutu, mie natoka Bagamoyo mazee! Hata ukijaribu denda tu, ni mkwamano! Au nakuteremsha kiazi , uwe umejiandaa kuzigawa Jeens zako zote! Kwani hakuna itakayokutosha! Ni koi kwa kwenda mbele.

duh! mbona umentisha?. hahahaaa...!! au unajihami bana!?. huyu mtoto wako anajua kupenda haiwezekani anyanyaskie wakati madoctor wa mapenzi tupo. bora nife lakini nimpate. Mia
 
Mzee wa mia. Umerudi? Miss u...
Karibu tena....

Bado mzee wa nalogoff sijui atafunguliwa lini....

Nmerudi ndugu yangu...!nlikumiss Miss sana mkuu. najaribu kurusha ndoano kwa huyu mrembo bana!, sijui atakubali?!!, but sitakata tamaa. penye nia pana njia. Mia
 
Karudi mkuu, sijui frm Segerea? Sababu aonekana kaja na kilalo cha kufa mtu!
Kinachompitia mbele anakiparamia!
Asione mstari wa kabati ! Anahemkwa!
Tatizo hazungumzi shida zake tumtafutie mapoozeo!

hahahahaaa...!!! Mkuu kwa huyu mtoto lazima tutatoana roho sababu nmemumezea mate kitambo tu. haiwezekani unmyanyase hadi aje kukutafuta huku jf si tunamwangalia tu. Wewe kama humtaki mwambie ukweli kuliko kumtesa nafsi. tatizo lako kila ua unataka ufunue. Mia
 
asie kuwepo na lake halipo. njoo kwangu mpenzi wangu nakuita.
mtu mwenyewe hajatulia. nmemkuta akirorororo na visichana vingine. yana vimemkeep busy kinoma halafu anasema eti kakuweka kiganjani. karibu. Mia

Haaaa we figganigga ulienda wapi?
 
Last edited by a moderator:
hawa kopoz mbona siwaoni jamani... wapi beibe nasty na mzigo wako wa miba(judgement).!!!
 
asie kuwepo na lake halipo. njoo kwangu mpenzi wangu nakuita.
mtu mwenyewe hajatulia. nmemkuta akirorororo na visichana vingine. yana vimemkeep busy kinoma halafu anasema eti kakuweka kiganjani. karibu. Mia

Heheheee mistari yako ni sooo soooft yani hainitetemeshiiii daah sijui hata lin ntaja coz my jg ndo kilakituuuu
 
Heheheee mistari yako ni sooo soooft yani hainitetemeshiiii daah sijui hata lin ntaja coz my jg ndo kilakituuuu

Mi siku zote mistari yangu hata kama ni migumu utaiona soft. Ukiona hivyo jua moyo wako ushanipenda bado akili yako tu kidondokea. sasa inakuwaje? kuwa wangu baby. mia
 
Mi siku zote mistari yangu hata kama ni migumu utaiona soft. Ukiona hivyo jua moyo wako ushanipenda bado akili yako tu kidondokea. sasa inakuwaje? kuwa wangu baby. mia
Masikin pole inavoonyesha unausongo duuh bas tena mie nshazimika kwa jg full stop
 
beibe nasty nambie my shostito, mwenzio c nikaenda musoma M'Jr c akanichunia! nimerudi zangu nimekuwa mdogo km piriton. . . cjui ndo kalipiza kisasi kwa vile ckumtafta alivokuja?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom