Valentines Special Thread 2017

If there is a women for every man

Msingekuwa wengi na kupita idadi yetu sisi wanaume
Na bahati yenu maana endapo kama kila
mwanaume angechukua mwanamke mmoja mmoja
Mngebaki wengi sana.
 
Wanakufikisha wapi,kwenye hela?

Kwa huyu si pesa cheo wala utajiri. Haiba yake, mahaba na Huba zake
Hakika hakuna mwanamke timamu asiyetamani kuwa na mwanaume kama yeye
 
Kwa huyu si pesa cheo wala utajiri. Haiba yake, mahaba na Huba zake
Hakika hakuna mwanamke timamu asiyetamani kuwa na mwanaume kama yeye
Hahaha muache mzee apumzike bhana,unataka kumpigisha sarakasi mzee wa watu
Njoo tunawezana mi na wewe
 
Wanajifanyaga wakorofi kumbe wanakamatikaga,
Mapenzi kitu ingine

= wanajifanya
= wanakamatika

Umeshajifikiria wewe ulifikaje duniani? Vipi, baba'ko na mama'ko hawakufanya mapenzi? Au ni wa bahati mbaya tu?
 
= wanajifanya
= wanakamatika

Umeshajifikiria wewe ulifikaje duniani? Vipi, baba'ko na mama'ko hawakufanya mapenzi? Au ni wa bahati mbaya tu?
Hahaha,mkuu kumbe unakapenda hako kamchezo
Kila la kheri
Inshaalah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…