Valentines Special Thread 2017

Sijui labda anatumia fake kama sisi,lakini wewe mtumie wishes ataziona tu.


Lol! Hivi nae tangu nianze kumzimikia hajawahi hata kunifikiria jamani nisaidie kumwambia labda atasisimka kidogo
 
Mbona umeweka jua linazama?
Hiyo ni ishara mbaya sana
 
dah! my valentine yupo kwenye kasha la box dukani kwa mangi.... anatoa povu laiiiniiii...
 
We jiandae na list ya phase 4 au kwa pilato wa kisutu tu,we utamzimikiaje mheshimiwa!!!?jinai hiyo uku ujue


Tatizo Moyo Mkuu nampenda sana Dakta Mkwere nitakufa juu yake
 
I love u cute...Warumi

Please njoo uchukue zawadi yako mrembo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…