Uwiiii kwan leo unaleta maua tena? Please change motionPlease maua yangu naomba uyapokee usiyachome moto... Cuz nikikuita Honey(asali) huwa unafurahia, sasa nitashangaa endapo utayachukia maua ya nyuki
Acha unafiki mkuu!!.......... Siku hizi unacomment so sincerely kisa umepata kimwana hapa JF! [emoji30] [emoji30] [emoji30]Poleni sana...
Sa nshayanunua...Uwiiii kwan leo unaleta maua tena? Please change motion
Mpelekee bi mkubwa leo, si unakumbuka ile last year ali complain maua? Fanya ka supriseSa nshayanunua...
Nko kwa ajili yake my shem na analitambua hilo. Uzr sijawah ona mwenye mapenz ya namna yake[emoji85]Ashee nale shem wangu..Mfanye ndugu yangu afurahie uwepo wako duniani
Manake ni mengi, ngoja niyagawanye mengine nkupe wewe mengine nimpelekeeMpelekee bi mkubwa leo, si unakumbuka ile last year ali complain maua? Fanya ka suprise
Haya mi nipo zangu uzi wa masingles huku mnaniumiza roho.....Nko kwa ajili yake my shem na analitambua hilo. Uzr sijawah ona mwenye mapenz ya namna yake[emoji85]
Nko hapa dunian jst kwa ajili ya kuziba ila mbavu alotoaAshee nale shem wangu..Mfanye ndugu yangu afurahie uwepo wako duniani
[emoji23][emoji23]..Nko hapa dunian jst kwa ajili ya kuziba ila mbavu alotoa