Valentines Special Thread 2017

Basi umeshaelewa kumbe,sasa uo moyo ukitaka kufanya kazi zisizo zake ukabizishe kwangu ntaupa unachoki-deserve,sawa shemeji yangu mzuri?.
hahahahahahhaha una utan na mr. wangu sio siri
 
kwani umevamia thread pasipo kujua inahusu nini?
uwiiii wewe ni wapi tena? inauliza maswali halafu haijui inauliza nini au haitaki kujibu maswali in return.

hahhahahahahhaha
 
hizo mbio zako unataka kuzifanya upande upi? I mean kwa nani? ili niweze kukujibu
nilikuwa nina maanisha katika mbio za kutangaza nia, naona vijana wameshawahi. Nilikuwa nimepanga nichukue form ya ushiriki ila nimeghairi.
 
nilikuwa nina maanisha katika mbio za kutangaza nia, naona vijana wameshawahi. Nilikuwa nimepanga nichukue form ya ushiriki ila nimeghairi.
umeghairi au huna nafasi? jieleze vzr bhana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…