Valentines Special Thread 2017

ha ha ha ha mzee mwenzangu huu mwez na kuazimisha charger huku kutaleta shida
 
Sasa si umuulize mwenyewe??? Anasema eti wewe ni shosti yake kwahiyo naweza kumwazima kwa muda wakati wewe haupo. Mi nlimkatalia. Kama huamini waulize Bonny na Raimundo ... usimuulize Numbisa maana yeye ni mpambe nuksi
hii kauli kipind anatamka kama kulikua na mwangwi mwangwi sikuisikia vizur na uzee huu labda Raimundo kijana aseme yeye
 
hakiharibik kitu sie ni watu wema na hatupend mzee akupoteze jje's ila kama unamuamin Numbisa wakat yeye alikua anvizia ile power bank sijui kama utapata jibu sahih
 
asante shemeji naona wewe unajua maana ya Valentine watu hatutaki fujo.
Nachojua ni kwaajili ya wapendanao shemeji yangu mzuri!..Kwani kuna kingine kuhusu hii valentine.
 
Mi siazimishagi, ila babu Asprin alisema ikitokea watu wakaenda kuazimisha chaja wengi, wengine atawaelekeza waje kwetu eti, sasa naona kimya mpaka sasa, ukimuuliza anasema atawaambia bado hawajaenda eti.

Sasa mimi sijui, labda Bonny aseme.
ndugu yangu Raimundo mie na babu tuna rule namba 3 yeye anaijua sasa kama wote charger tunazo na yeye anataka kucharge kila sehem mmh napata shaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…