Valentine day;mchagulie member wa JF umpendae

Valentine day;mchagulie member wa JF umpendae

farkhina ya kwangu naomba nikupe wewe umpelekee valentine wangu, naamini itafika salama
 
Last edited by a moderator:
Unaruhusiwa kuwapa zaidi ya mmoja?
Anzisha kabisa thread ya #Mabazazi (masharti weka access awe na uwezo wa kumpa kila ana date nae bila mwingine kuona)
 
Itabidi na mie nijifunze kutoa zawadi ya maua uzeeni....

Ila mie nikiletewa tenga la maembe nitakenua hadi tarehe 15..lol!!

Hayo maembe ukiletewa na mie naomba...

MAEMBE%2BTENGA.bmp
 
Mi mgeni jamani naomba valentine anitumie zawadi. Vale awe mdada si mkaka...😨
🍒


Sent from Samsung Note III using Tapatalk
 
mbona hamna ya rangi nyeusi fakhrina ?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom