Hakika Mungu kaipendelea Tanzania. Valentina Gabriel jina lake, almaaruf Vale Nafaka a girl with an extra ordinary, natural and undisputed beauty. Who makes heads turn and pulses run fast.
God please 🙏🏿continue blessing and protecting Vale Nafaka.
Die hard secret admirer.
Ila Vale Nafaka ni mzuri na mrembo. Mungu kampendelea sana huyu binti.
Kwaanzia kwenye unyayo katikati hadi utosini.
Hii pisi ni balaa. Yani hadi nashindwa kuelezea maamaee walahi.
Kwa wale wasiomjua Valentina Gabriel ni binti mdogo tu wa miaka 25 anajishughulisha na maswala ya kilimo na...
Binti mrembo nchini mwenye uzuri wa aina yake wa sura na umbo which make heads turn and pulses racing Valentina Gabriel almaarufu Vale Nafaka kaumia mguu wa kushoto na anatembea kwa kuchechemea.
Alionekana kwenye Video kwenye ukurasa wake wa Instagram mguu wake wa kushoto umefungwa bendej na...
Mimi siyo shabiki wa hii timu ya Arsenal lakini naiombea ichukue ubingwa wa FA Premier league na Uefa UCL.
Ila nimependezwa sana na huyu binti sikujuwa ni shabiki wa Arsenal.
Si mwengine bali ni Valentina Gabriel al maarufu Vale nafaka nembo ya taifa mrembo wa taifa binti mrembo mwenye uzuri...
Ni binti mwenye umbo la pekee na sura ya kuvutia. Mrembo na mzuri wa aina Yake.
Kaumbika toka kwenye unyayo hadi utosini.
Her eye catching undisputed beauty makes heads turn.
Despite her good looks she has a good heart ,Jovial and charming.
What makes her exceptional and peculiar is her...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.