loose Nut
JF-Expert Member
- Dec 6, 2025
- 2,274
- 5,207
Mimi siyo shabiki wa hii timu ya Arsenal lakini naiombea ichukue ubingwa wa FA Premier league na Uefa UCL.
Ila nimependezwa sana na huyu binti sikujuwa ni shabiki wa Arsenal.
Si mwengine bali ni Valentina Gabriel al maarufu Vale nafaka nembo ya taifa mrembo wa taifa binti mrembo mwenye uzuri wa aina yake toka chini hadi juu.
Licha ya her striking good looks and undisputed beauty Vale Nafaka ndie mwanamke pekee mwenye makalio makubwa mwenye akili.
Pia Vale ni pole, mkarimu na mcha Mungu.
Senior JF beauty inspector expert!
adriz de mbusii