Thibitisha hivyo vitendo.
Anajing'atang'ata kucha bado
Mwenzanguu anamzibia riziki kabisaaa lo hiv hiviiii aiseee
Khaaa mwambie atupishe kabisaa tushone sare sie
Pacha ushapendwa huku
Na tutayashona tu kwa lazimaaa
mke mwenza mtongozo huooo...nje nje!
Hahahahhahahahahaha
hmm afadhali mambo ya two in one yanabaki historia sahizi
unacheka nini sasa