ICHANA
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 4,765
- 3,598
7 5 mm
Kuna jukwaa linaitwa chit chat!
Na usione watu wanataniana we had a long way kuwa na ukaribu wa aina hiyo,kuna kitu humu kinaitwa circle! Usifikiri mi nakurupuka tu kumtania Dark City au Asprin sijui Eiyer ukafikir ni swala la kuikuta tu ID Leo na kesho kuanza kuiandikia thread nakupenda sijui nataka nikuoe!
Jifunze kutengeneza marafiki utapata tu wa kuwa huru Nao kuwatania!
Usivamie kila MTU!
Sawa eeeenh!
Jifunze na uelewe,kinyume na Hapo ndo haya ya kushushuliwa hivi mwisho unakuwa na sura nzito kama uji wa ulezi!
uuuwiha ha ha ha uji wa ulezi tena...
kusutwa suna na sura ya liyopigwa deki