Sijui shule zinafunguliwa lini muende shule nyie watoto!!Wewe mvulana unayejiita @7 5mm sijui
#cm ,,umetudhalilisha sisi wanaume!
Mwanaume kwanza anatambulika kwa msimamo wake,wewe kidogo tu umeyumbishwa,umekimbilia kupiga magoti!
Hujatumia busara,ungetaka utani ungeweka uzi wako huko jokes,baada ya kupewa za uso unajitia kusema,"Ni utani,ina maana wanawake wote mitaani siwaoni mpaka nitafute kwenye mitandao?Ndiyo umeyajua leo?,!Namjua
Vaislay, tukimwambia aweke wazi mese zako za pm mbona utaumbuka??Kwa taarifa yako husione
lara 1 kaweka uzi wake anampenda
Matola au
Mom Fay amemmiss laazizi wake
Arovera ukadhani unaamka tu unachagua mtu wa kumuanzishia uzi,mnakubaliana hasa kama mambo yenu ni ya kuigiza!!
Umeniboa na kauli yako ya eti "Wanawake wote mitaani kwenu huwaoni hadi ukatafute Jf?"Wakati mwenzio amelalamika unavyojikoki pm unabembeleza?Kwani hao hao mitaani ni akina nani?Ndio hao hao wako JF.Kuweni na utu,umepigwa chini hamna sababu ya kuanza kutoa maneno ya kejeli kwa mwenzio,by the way wewe si ni mwanaume?Kukataliwa mbona ni jambo la kawaida tu,labda wewe kama sio lijali!