Naaaaaaaam! Waungwana habarin za j4 kwa kila mmoja.
Nimeona sitakuwa muungwana kama kama sitawapa mrejesho wakati nilitamka hadharani hapa kuwa namhitaji mtoto mzuri na mrembo Vaislay na watu mlijitafuna sana kutoa ushauri,na kunisaidia kumshawishi bibie ili akubali ombi ninafuraha kuwaambia kuwa jana ndio nilienda kujitambulisha rasmi kwao.
Nilipokelewa vizuri sana na nimekubaliwa ombi lakuwa mmoja wa wanafamilia yao.
Kwa kweli suala la mahali nimepimiwa kiasi cha kawaida sana ambacho mtu yeyote anaweza kukimudu.
Sasa mjiandae kuhudhuria harusi itakapopangwa
.
.
.
....................
..................................
Cc ICHANA , Dinazarde , Matola , miss neddy , babu Asprin , miss chagga , na wengine weeeeeengi