Vaislay samahan sana kwa kukuudhi naomba unisamehe pia wanajf wote naomba mniwie radhi kwa kuwaharibia mood zenu.
Sikujua kuwa yatafikia huku niliandika huu uzi kama utani tu kwasababu najua tangu mwanzo tulianza kwa utani na yeye mwenyew
Vaislay aliongea kama utani kuwa namnukuu" naogopa mahusio ya kwenye mitandao ila ntakuwa mkeo hapa jf tu na sio vingne zaidi" kwa kauli yake hyo nikajua basi tutakuwa tunataniana kwa njia hyo lakin nmesikitisha kwa jinsi nilivyoshambuliwa na kutukanwa kama nmetukana mtu.
Vaislay hata kama hukutaka utani ungeniambia tu kuwa nisikutanie nisingfika huku haikuwa na haja ya kunishambulia kwa maneno ya kejeli kiivyo ndg,.......
Jambo lingne usinifananishe na watu ambao siwajui naona mmenikomalia kuwa mm ni
Makomana wakat huyo mtu hata simjui na sijui ww na makomana mna kisa gani.
NI HAYO TU DADAANGU VAI NISAMEHE SANA KWA KUKUUDHI SIKUJUA KUWA YATAKUWA HAYA