Vaislay unahtajika mrejesho

Vaislay unahtajika mrejesho

halafu ID gani unayoisema nmekuja nayo kivingne?

Kantangazeeeee....ntakulipua ulisema utanilipua Mimi Dinazarde unajua hilo.
Hii id mpya umejiunga juzi kati baada ya kukurofishana Uzi fulan
Mm natumia one ID na siogopi.
Tushakujua member wa zamaaan
Acha hizi mambo
 
Last edited by a moderator:
Kantangazeeeee....ntakulipua ulisema utanilipua Mimi Dinazarde unajua hilo.
Hii id mpya umejiunga juzi kati baada ya kukurofishana Uzi fulan
Mm natumia one ID na siogopi.
Tushakujua member wa zamaaan
Acha hizi mambo

nyie mbona mnanena kwa lugha? Mbon siwaelewi kabisa? Aisee
 
Last edited by a moderator:
Aiseeee wewe unanini na mimi??
usitafute kik kwa jina langu tafadhali...We familia yangu unaijulia wapi?? leo hii iwe mwanzo na mwisho kuweka thread yenye jina langu....
Nilishakuambia SIKUTAKIIIII mbona unanifata fata hivyo...yaan umekaa huko na kuanza kufikiri kudanganya watu hapaaa...
USHINDWE TENA NA UKOME

Hahahaha...pole sana mkuu,
dah, ume over react! unexpected. kumbe hujaacha ukali wako? Jamaa anatania tu mkuu, sidhani kama yuko serious kiasi unachodhani.
 
Aisee .....

JF imeshakuwa ya aina hii kweli?

Mtu anakuja kumuanzishia mtu siredi bila hata kufikiri

Pole binti ....

Ila huu sasa ni ujinga mkubwa sana na Mods sijui wako wapi

Fanyeni jambo bana!

Sure too much kumsumbua mtu tuuu
Kumention majina...kutishiana kila sired kuwa atatulipua ya nn jamani?

Jf tupo kwa starehe sio karaha na stress
 
Naaaaaaaam! Waungwana habarin za j4 kwa kila mmoja.

Nimeona sitakuwa muungwana kama kama sitawapa mrejesho wakati nilitamka hadharani hapa kuwa namhitaji mtoto mzuri na mrembo Vaislay na watu mlijitafuna sana kutoa ushauri,na kunisaidia kumshawishi bibie ili akubali ombi ninafuraha kuwaambia kuwa jana ndio nilienda kujitambulisha rasmi kwao.

Nilipokelewa vizuri sana na nimekubaliwa ombi lakuwa mmoja wa wanafamilia yao.
Kwa kweli suala la mahali nimepimiwa kiasi cha kawaida sana ambacho mtu yeyote anaweza kukimudu.

Sasa mjiandae kuhudhuria harusi itakapopangwa
.
.
.
....................
..................................
Cc ICHANA , Dinazarde , Matola , miss neddy , babu Asprin , miss chagga , na wengine weeeeeengi

P.mbi nyingine huwa zinakosa kazi.

Hivi kweli mtu mwenye majukumu anaweza kufikiria kuamka asubuhi kama hii nakuwaza ujinga wa kuanzisha thread kama hii.

Yani hiki ndicho ulicho kiwaza usiku mzima wajana na ukamua kujakutuonesha utumbo wako.

Pengine inawekana sio kosa lako siku ukiacha kula nyumbani ndio utaelewa ninachokizungumzia hapa.

Kweli kizazi hiki kinapotea kwa kukosa maarifa.😕

.....xx.....xx....xxx....xx....xx.....xxx...xx..xxx...
 
Hahahaha...pole sana mkuu,
dah, ume over react! unexpected. kumbe hujaacha ukali wako? Jamaa anatania tu mkuu, sidhani kama yuko serious kiasi unachodhani.

humjui tu huyu mtu...i wish umfaham...
utamwanzishiaje mtu thread bila ridhaa ya mtu?
 
vaislay na mimi naomba mrejesho kutoka kwako coz hizi rumours zimezidi

simjui hanijui....nashangaa kuona anapoteza muda wake kuandika vitu vya ajabu hapa
 
Back
Top Bottom