Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,048
- 13,495
kwenda wewe sitaki sitaki sitaki unizoeee nimekuambia....
Usimjibu unampa kichwa tu,
kwenda wewe sitaki sitaki sitaki unizoeee nimekuambia....
Na mimi nakuanzishia siredi .....!!
ulimpa number mwenyewe acha kujishaua hapa
Nimefanya nini mie baba paroko?
Jana mimi niliuliza haya mambo ya watu kuitana sijui mke sijui mume yana mantiki yoyote au watu wanakurupuka tu...kwanza mimi binafsi kuthubutu tu kumwita mtu mke from nowhere siwezi......mke or mume is a serious matter.....Sasa JF siku hizi imekua chat room....watu wanatunga tunga tu vihadithi vyaoooooo...kama huyu mtoa mada nadhani hajawa mstaarabu vya kutosha.
Mkuu naomba uwe kidogo muelewa, binti hataki kuwa na mawasiliano yoyote na wewe lakini unalazimisha.Hiyo ni harrasment mkuu.
aliona ile kavurunda bora aje kujiosha na hii...kumbe na hii kajipakaza kinyesiii...
hoooovyooo....akajipange...
Hahahaha...pole sana mkuu,
dah, ume over react! unexpected. kumbe hujaacha ukali wako? Jamaa anatania tu mkuu, sidhani kama yuko serious kiasi unachodhani.
hii thread hakuna kufungwa mpk tumalize hili..
We mpe tuuu
Ngoja nikusaidie .
Nyoko zako we we mleta mada! .
na ndo maana namwabia anachokiandika pm aandike hapa