Vaislay unahtajika mrejesho

Vaislay unahtajika mrejesho

Aiseeee wewe unanini na mimi??
usitafute kik kwa jina langu tafadhali...We familia yangu unaijulia wapi?? leo hii iwe mwanzo na mwisho kuweka thread yenye jina langu....
Nilishakuambia SIKUTAKIIIII mbona unanifata fata hivyo...yaan umekaa huko na kuanza kufikiri kudanganya watu hapaaa...
USHINDWE TENA NA UKOME
teh teh there is no "BAD PUBLICITY" cc 7 5 mm
 
Last edited by a moderator:
"I know not with what weapons World War III will be fought, but World War IV will be fought with sticks and stones." - Albert Einstein

[QUOTE=Mentor;9891026]Mh! Masai naona unataka kuibua WW IV....[/QUOTE]
 
ulimpa number mwenyewe acha kujishaua hapa

Tuliza munkar ! mimi naona kama anataka uwe unaporaja hivyo ! Ushampa mikato yako si achana nae aende na zake ukiendeleza thread haimalizika uta pata wagomvi kibao achana nae unless muna mipango mengine !
 
We 7 5 mm mbona umenyoosha mikono mapema? Hivi hujaona mwanaume unatukunwa hadi unatamani kulia,bado unakomaa tu. Umepigwa biti kidogo,unaomba mechi iishe kihivi. Nimesoma mwanzo mwisho,eti unaomba msamaha!! Kwa kosa gani? Watu wanapata mchepuko hata kwa mke wa mfalme!
 
mkuu nmesema ulikuwa ni utani sikuwa na maanisha kuwa namtaka kweli.
Ila yeye alichukulia serious. Nitawezaje kumpenda mtu ambaye simjui wala sauti yake siijui wala picha siijui?
Niliandika kwa lengo la kuchangamsha jukwaa tu sasa naona watu wamelivalia njuga kama nn.
Nmeona niombe msamaha tu kwasababu yeye ameona ametukanwa au amekwazika sana.
Kubali yaishe sku znasonga
 
Last edited by a moderator:
Eeh! ona sasa mwanaume umeanza kutokwa na povu jingi.

Misamaha kibaooooo!

Punguza shobo mkuu unafikiri kulikuwa na haja gani ya kuanzisha uzi, hawa mabinti wa hapa ni vinyonga leo atakuchekea kesho anakugeukia.

Lazima uwe na mipaka yako kama mwanaume ili kujenga heshima popote pale unapokuwa.

Aibu ulioipata hapa jukwaani haitafutika.

Nirahisi sana kuivunja heshima kuliko kuirudisha, kuna wakati hakuna haja ya kujenga mazoea sana au utani hapa jukwaani. KUNAWENGINE WAPO KAZINI HAPA UTALAMBISHWA KEKUNDU.

Eee jamani masai taratibu..lol
 
7 5 mm
Kuna jukwaa linaitwa chit chat!
Na usione watu wanataniana we had a long way kuwa na ukaribu wa aina hiyo,kuna kitu humu kinaitwa circle! Usifikiri mi nakurupuka tu kumtania Dark City au Asprin sijui Eiyer ukafikir ni swala la kuikuta tu ID Leo na kesho kuanza kuiandikia thread nakupenda sijui nataka nikuoe!
Jifunze kutengeneza marafiki utapata tu wa kuwa huru Nao kuwatania!
Usivamie kila MTU!
Sawa eeeenh!
Jifunze na uelewe,kinyume na Hapo ndo haya ya kushushuliwa hivi mwisho unakuwa na sura nzito kama uji wa ulezi!

Kumbe huwa unanitania? Nimepata amani ya kila kiungo....lol!!

Ila sijaona tatizo kubwa kiasi hicho...sometimes unataniwa na kucheka kisha mambo yanaenda!!

Kutotaniwa nayo ni laana mjue....
 
Kumbe huwa unanitania? Nimepata amani ya kila kiungo....lol!!

Ila sijaona tatizo kubwa kiasi hicho...sometimes unataniwa na kucheka kisha mambo yanaenda!!

Kutotaniwa nayo ni laana mjue....

Babu salama lakini?

Mi namshangaa huyu snowhite haya mabusara siku hizi sijui kayatoa wapi

Ngoja na mimi nimuanzishie siredi .....!!
 
Last edited by a moderator:
7 5 mm
Kuna jukwaa linaitwa chit chat!
Na usione watu wanataniana we had a long way kuwa na ukaribu wa aina hiyo,kuna kitu humu kinaitwa circle! Usifikiri mi nakurupuka tu kumtania Dark City au Asprin sijui Eiyer ukafikir ni swala la kuikuta tu ID Leo na kesho kuanza kuiandikia thread nakupenda sijui nataka nikuoe!
Jifunze kutengeneza marafiki utapata tu wa kuwa huru Nao kuwatania!
Usivamie kila MTU!
Sawa eeeenh!
Jifunze na uelewe,kinyume na Hapo ndo haya ya kushushuliwa hivi mwisho unakuwa na sura nzito kama uji wa ulezi!

Hebu muanzishie siredi Mentor .....!!
 
Last edited by a moderator:
Huyo! vaislsy nae utoto wamsumbua tuuu! Akikuita mke ndo utakuwa mke kweli! Hili jukwaa limevamiwa na aliens.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom