Vaislay unahtajika mrejesho

Vaislay unahtajika mrejesho

naomba usigeneralise watu, mimi na my lara 1 tuko for really hatuna cha kupretend. hupendi saga chupa ubwie mezea na kiroba.

Good for you hasa pale ambapo wewe na my sweetheart wako mko kwenye Page moja...lakini sio kumkurupukia tu mtu from no where.....
 
Unataka ujue ili iweje?

Muone umbea tu ...lol

Mbona Vaislay keshasema?

Nijue ili nikuandalie kigoma cha Uruguay kama msuto unakuhusu!!
Nilikuwa sijaona neno la twin,nimeliona sasa na Sote tuseme Amen.
 
Last edited by a moderator:
mkuu natania tu sasa naona kunawatu wanakuja juu.
Kwan wanawake hakuna mitaan mpaka nikampende mtu nisiyemjua?
Hiii niliandika kwa utani tu

sitaki utani, sitaki thread, sitaki mention kuanzia leo hii...
NADHANI UMENIELEWA
 
Nijue ili nikuandalie kigoma cha Uruguay kama msuto unakuhusu!!
Nilikuwa sijaona neno la twin,nimeliona sasa na Sote tuseme Amen.

Haya maneno yenu ya mipasho mi siyaelewi kabisa!
 
Mi nasubiri kula punje tu hapa....tarehe ya arusi tafadhali
 
Umenifanya nisitishe sala yangu

Sababu za kusitisha zinaweza kuwa nyingi

Unaweza kuwa ulikuwa unamuomba Mungu usikie chochote kutoka kwangu hivyo baada ya kusikia sala imesitishwa
Unaweza kuwa umeshtuka
Unaweza kuwa umeshangaa ni balaa gani hili kuambiwa neno hili na mimi
Unaweza kuwa umestaajabu kusikia hivi kutoka kwangu
Unaweza kuwa umefurahi
Unaweza kuwa umechukia
Unaweza kuwa umepigwa na butwaa

Chagua moja kati ya hayo!
 
Aisee .....

JF imeshakuwa ya aina hii kweli?

Mtu anakuja kumuanzishia mtu siredi bila hata kufikiri

Pole binti ....

Ila huu sasa ni ujinga mkubwa sana na Mods sijui wako wapi

Fanyeni jambo bana!

mkuu hii ndo shida ya watu kuangala avatar za watu wakadhani hao watu ni warembo! wakaanza usanii na wengine wanaona mtu kaandika thread kama hiyo naye anatafuta atokeje! watu wanawake wapo wengi huko nje unaowaona na kuwafahamu unakuja kufanya gambling humu!
 
7 5 mm
Kuna jukwaa linaitwa chit chat!
Na usione watu wanataniana we had a long way kuwa na ukaribu wa aina hiyo,kuna kitu humu kinaitwa circle! Usifikiri mi nakurupuka tu kumtania Dark City au Asprin sijui Eiyer ukafikir ni swala la kuikuta tu ID Leo na kesho kuanza kuiandikia thread nakupenda sijui nataka nikuoe!
Jifunze kutengeneza marafiki utapata tu wa kuwa huru Nao kuwatania!
Usivamie kila MTU!
Sawa eeeenh!
Jifunze na uelewe,kinyume na Hapo ndo haya ya kushushuliwa hivi mwisho unakuwa na sura nzito kama uji wa ulezi!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom