Uzuri wangu sasa umekuwa kero

Uzuri wangu sasa umekuwa kero

KALYANKOZILE

Member
Joined
Apr 24, 2013
Posts
19
Reaction score
1
Mara nyingi utawasikia baadhi ya watu wakijirahumu kutokana na kufikiri kuwa sura zao na maumbo yao kutokuwa na mvuto kwa watu ambao wangependa kuwa nao katika mahusiano (Mapenzi) lakini kwangu mimi sura yangu na umbo langu sasa vimenifanya kukosa amani,furaha na uhuru wa kuwa na mahusiano na nimpendaye na kufikia kusema maneno ya kumkufuru Mungu kwamba labda alinipendelea alipokuwa ananiumba!!!!

Kwani nimekuwa nikigombaniwa na kila msichana na wengine wamekuwa wakinichukia eti kisa sitaki kuwa nao kimapenzi pia wengine wamekuwa wakinitangaza kuwa mimi ni mchumba wao na wengine wamekuwa wakiniomba namba za simu na kunipigia wakibembeleza kuwa na mimi na mbaya zaidi wasichana wengine wamediliki kuanza kutumia nguvu za giza ili wanipate!! na mambo mengine mengi nimekutanayo mara baada ya kuingia utu uzima.Jamani nifanye nini ???

Naomba ushauri wenu. Naitwa handsome Boy kama wao walivyonibatiza!!!!!!!!
 
Hahaha mzabzab..unatamanije chance ya huyu mshikaji?
 
Last edited by a moderator:
Mara nyingi utawasikia baadhi ya watu wakijirahumu kutokana na kufikiri kuwa sura zao na maumbo yao kutokuwa na mvuto kwa watu ambao wangependa kuwa nao katika mahusiano (Mapenzi) lakini kwangu mimi sura yangu na umbo langu sasa vimenifanya kukosa amani,furaha na uhuru wa kuwa na mahusiano na nimpendaye na kufikia kusema maneno ya kumkufuru Mungu kwamba labda alinipendelea alipokuwa ananiumba!!!! kwani nimekuwa nikigombaniwa na kila msichana na wengine wamekuwa wakinichukia eti kisa sitaki kuwa nao kimapenzi pia wengine wamekuwa wakinitangaza kuwa mimi ni mchumba wao na wengine wamekuwa wakiniomba namba za simu na kunipigia wakibembeleza kuwa na mimi na mbaya zaidi wasichana wengine wamediliki kuanza kutumia nguvu za giza ili wanipate!! na mambo mengine mengi nimekutanayo mara baada ya kuingia utu uzima.Jamani nifanye nini ???naomba ushauri wenu.Naitwa handsome Boy kama wao walivyonibatiza!!!!!!!!
Mi nilijuwa mwanamke ndo anataka ushauri... We unasifiwa kwa uhandsome nawe unapagawa... Achana nao....
 
Mara nyingi utawasikia baadhi ya watu wakijirahumu kutokana na kufikiri kuwa sura zao na maumbo yao kutokuwa na mvuto kwa watu ambao wangependa kuwa nao katika mahusiano (Mapenzi) lakini kwangu mimi sura yangu na umbo langu sasa vimenifanya kukosa amani,furaha na uhuru wa kuwa na mahusiano na nimpendaye na kufikia kusema maneno ya kumkufuru Mungu kwamba labda alinipendelea alipokuwa ananiumba!!!! kwani nimekuwa nikigombaniwa na kila msichana na wengine wamekuwa wakinichukia eti kisa sitaki kuwa nao kimapenzi pia wengine wamekuwa wakinitangaza kuwa mimi ni mchumba wao na wengine wamekuwa wakiniomba namba za simu na kunipigia wakibembeleza kuwa na mimi na mbaya zaidi wasichana wengine wamediliki kuanza kutumia nguvu za giza ili wanipate!! na mambo mengine mengi nimekutanayo mara baada ya kuingia utu uzima.Jamani nifanye nini ???naomba ushauri wenu.Naitwa handsome Boy kama wao walivyonibatiza!!!!!!!!
Labda nikuulize: ile meli aliyoahidi kikwete kwamba atainunua ili itoe huduma ziwa victoria kutoka kule kwenu mpaka mwanza imeshaletwa? naona hii nyingine imechakaa eti.
 
beautifulones6302010.jpg
 
Ushamba mbaya sana, Yaani nilijua mwanaume anasifiwa kazi na kula tu, kumbe kuna mambo ya umbo namba nane 9 sura nini nini?. Nilivyojua mwanaume kula huwezi amini nimekuwa napiga MSOSI ndembendembe yaani sasa kitambi kinamwagika kama cha Mh. wa TOT band, kumbe nimebugi meen!!! Poor me!
 
huna lolote KALYANKOZILE! alafu wanaume hawako ivyo,

kama vp wanaokusumbua wambie na ww unamume wako watatulia tu!
 
Mara nyingi utawasikia baadhi ya watu wakijirahumu kutokana na kufikiri kuwa sura zao na maumbo yao kutokuwa na mvuto kwa watu ambao wangependa kuwa nao katika mahusiano (Mapenzi) lakini kwangu mimi sura yangu na umbo langu sasa vimenifanya kukosa amani,furaha na uhuru wa kuwa na mahusiano na nimpendaye na kufikia kusema maneno ya kumkufuru Mungu kwamba labda alinipendelea alipokuwa ananiumba!!!! kwani nimekuwa nikigombaniwa na kila msichana na wengine wamekuwa wakinichukia eti kisa sitaki kuwa nao kimapenzi pia wengine wamekuwa wakinitangaza kuwa mimi ni mchumba wao na wengine wamekuwa wakiniomba namba za simu na kunipigia wakibembeleza kuwa na mimi na mbaya zaidi wasichana wengine wamediliki kuanza kutumia nguvu za giza ili wanipate!! na mambo mengine mengi nimekutanayo mara baada ya kuingia utu uzima.Jamani nifanye nini ???naomba ushauri wenu.Naitwa handsome Boy kama wao walivyonibatiza!!!!!!!!
Kama vipi nenda ''kwa macheni'' za siku hizi...

Back
Top Bottom