UZURI WA MWANAMKE NI NINi?

UZURI WA MWANAMKE NI NINi?

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,069
Reaction score
34,839
1459988_237684489731029_2064782448_n.jpg
 
Uzuri wa Mwanamke ni tabia nzuri sio dini wala sura yake wazuri wapo wengi lakini tabia zao ni mbaya. Hakuna mwanamke aliye mbaya duniani wote ni wazuri ila wanazidiaana kwa uzuri. Wanawake wachache tu ndio wenye Tabia nzuri.
 
Ha ha haaa mkuu naona umenijibu! Dini ndio ina katiba ya maisha, katiba ambayo ina do's and dont's za kutosha. Mkiwa watu wa sala hakuna tatizo ktk familia, mnaungana kikweli kweli kiroho.

Hapo tupingane tu, uzuri wa nje ni matokeo ya uzuri wa ndani mkuu.
Dini----->Tabia ya ndani----->Output (unayoweza kumuona sasa kwa macho yako na kusema she is cute/not).
 
Uzuri wa mwanamke pamoja na tabia upo kwenye macho ya anaemwangalia
 
Tabia nzuri na awe mcha Mungu, mcheshi siyo kila wakati kanuna kama kalamba ndimu, mkweli, asiependa majungu na kuropoka maneno yasiyokua na busara, na mwisho apendae familia zote namaanisha upande wa familia yake na ya mumewe, watoto wake na jirani zake pia
 
uzuri wa mwanamke ni tabia uzuri hata mbuzi anao..
 
Back
Top Bottom