UZURI WA MWANAMKE NI NINi?

UZURI WA MWANAMKE NI NINi?

Nambe, Hebu niambie hiyo dini yako inaitwa nini? Ilikuwa ni bahati tu, ulipoamka asubuhi ukamkuta uliye naye ni wa hiyo dini, otherwise, wewe, ungekuwa hapa kwangu na dini yangu, ya kwako umeisahau.
Nambe, usinichukie, niambie, huko kwa huyo jamaa ulipajua kabla hujaenda huko au ulikwenda tu na roho yako umesha mkabidhi mikononi mwake. Akutende atakavyo. A woman is not in her senses when in love

My dear siku hizi vibinti tu ndio haviko kwenye sense when in love
Ila sisi wa siku hizi we are in full sense but play fool to fool or going along with u guys...
Ogopa smile ya mudada wa mjini....
Ogopa I love u ya mudada wa mjini coz inamaanisha I love ur pocket...
Ukimvuruga kidogo yeye anakuvuruga zaid...
 
Nakubali saana Nambe.
Ila ni kwa wale wanaume walio chizika. Endelea tu mdada kuna siku utakutana na type ambayo weye ndo utanilisha na kuninywesha tu. Tupo mdada kama huja hamisha vyombo vya chumba ulete huku. Ni PM nikuongoze
 
Ungeweka na picha ya uzuri mwingine ingekuwa vizuri zaidi.
 
Back
Top Bottom