Uzuri na ukubwa wa Jiji la Nairobi

Duh watu wa Nairobi bado mnatumia primitive buses kiasi hicho!!!!!!
Tanzania will never have buses like these hadi dunia iishe
cf332f3bf8f27a8b97ebd5568b860e7e.jpeg
0068f5df935d49eddbf4ca58e0987408.jpeg
 
Tanzania will never have buses like these hadi dunia iisheView attachment 1205179View attachment 1205180
Sisi pia tuna BRT tena zinatembea kwenye barabara zao special...halafu mambo yakuning'iniza mabendera ya linchi lenu kwenye gari ni ushamba...yaani gari la usafiri wa umma limechorwa bendera ya kenya ili iweje kama sio kutafuta sifa na ushamba?????? Nimefika London sijaona kitu kama hicho aisee nyie Wakenya Limbukeni.
 
Congratulations kwa kufika London kwa picha na YouTube
Sisi pia tuna BRT tena zinatembea kwenye barabara zao special...halafu mambo yakuning'iniza mabendera ya linchi lenu kwenye gari ni ushamba...yaani gari la usafiri wa umma limechorwa bendera ya kenya ili iweje kama sio kutafuta sifa na ushamba?????? Nimefika London sijaona kitu kama hicho aisee nyie Wakenya Limbukeni.
 
Acha kudanganya
Sio kuongeza tu mipaka bradhee, inaitwa metro - the total built up area of a city. Sasa Dar es Salaam haijakamilika kujengwa ndani ya mipaka utaongezaje sehemu ziko nje ya mipaka?
Watu.So Kama Nairobi metropolitan inafika mpakani mwa Tanzania umeshaona the built up area imefika Mpakani Hadi Namanga?
 
Nani amesema Nairobi metro imefika Namanga border? Naona kitu inakusumbua akili
Acha kudanganya

Watu.So Kama Nairobi metropolitan inafika mpakani mwa Tanzania umeshaona the built up area imefika Mpakani Hadi Namanga?
 
Why all this hate brothers and sisters? We Tanzanians love Nonini and you Kenyans love Diamond Platnumz.
come on now.
 
C
Nasikia chapo ni chakula cha anasa Kenya !!? Mkenya akinunua chapo anapitanayo mtaani huku anakula na soda baridi ili aonekane tajiri
Chapo ilikuwa chakula cha anasa zamani. Siku hizi ni chakula cha kawaida. Ugali tena imepanda bei kushinda chapati.
 
Back
Top Bottom