Uzuri na ukubwa wa Jiji la Nairobi

Bado hujaijua Nairobi usigelingaisha na Kariakoo
 
Du machakora slum hii ni gani?
 
Hivi wewe tony Nairobi Unaijua kweli yaani KI cbd cha nai nikukatiza tu na mguu dakika 15 usha kimaliza
Na slum kubwa ya Dar es Salaam inchukua dakika saba ndio ndege ziweze kuipita eneo hilo kubwa.
 
Hapa naona unapigia mbuzi guitar.....Sidhani watakuelewa
 
Na slum kubwa ya Dar es Salaam inchukua dakika saba ndio ndege ziweze kuipita eneo hilo kubwa.
Wakenya wacheni utani na dar ....yani Nairobi cbd ukitembea dk 15 umemaliza kila kitu tena uwezi kupotea ukiwa cbd ila dar cbd kila siku wakenya wanapotea mjini
 
Wakenya wacheni utani na dar ....yani Nairobi cbd ukitembea dk 15 umemaliza kila kitu tena uwezi kupotea ukiwa cbd ila dar cbd kila siku wakenya wanapotea mjini
Newyork is 783.8 square kilometers while Dar is 1590 Kilometers square.
 
Githeri na sukuma wiki si msosi..ndo maana ikaitwa sukuma wiki..hujui maana Ake

Usijidanganye umetafuna githeri eti umegonga msosi!!!!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
kama n hvyo kumbe hata nyama sio mboga ndio maana ikaitwa nyama
 
mabas mazur ila hzo sticker znayafanya yaonekane kama mikoche
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…