Uzuri na ukubwa wa Jiji la Nairobi

Bado hujaijua Nairobi usigelingaisha na Kariakoo
Sikuwahi kufahamu kuwa Nairobi ni jiji kubwa kiasi hiko nilijua kuwa Nairobi ni kamji kadogo tu ambako majengo marefu yamerundikana kumbe Nairobi inaweza kulingana na Kariakoo au zipishane kidogo kwa ukubwa wa eneo lililojengeka dah hongera sana wakenya kwa hili.
 
Unachosha sana wewe jamaa, tangu lini gatuzi moja likawa ndani ya gatuzi lingine? Unajua maana ya county? Nairobi Metropolis imeingia hadi sehemu zingine za gatuzi nne za Kajiado, Machakos, Kiambu na Murang'a. We vipi unataka nikochoree kibonzo ndio uelewe?
Du machakora slum hii ni gani?
 
A slum in Kenya Vs a middle income area in Tz
Kwaiyo umepiga chapaa ngapi hapo gorogocho slum au unapatikana Kwa slum Mpya wenyewe mnaihita motropoli
The first pic is a slum in Kenya and the last one is a middle income area in Tz
tapatalk_1567700637726.jpeg
tapatalk_1567765869049.jpeg
 
Dah! Hata nikikuekea huzisomi. Hii hapa ni tovuti ya NaMSIP(Nairobi Metropolitan Services Improvement Project) idara ya serikali ya kuboresha huduma ndani ya Nairobi Metropolis. .go.ke ni anwani rasmi ya GoK. Kenya Year Book ni publication rasmi ya GoK ambayo huwa wanaitoa kila mwaka. Humo ndani huwa kuna taarifa na takwimu zote, za mwakani, za Kenya. Nashangaa kusikia kwamba huko Magufulistan huwa hamna kitu kama hicho.
Hapa naona unapigia mbuzi guitar.....Sidhani watakuelewa
 
Na slum kubwa ya Dar es Salaam inchukua dakika saba ndio ndege ziweze kuipita eneo hilo kubwa.
Wakenya wacheni utani na dar ....yani Nairobi cbd ukitembea dk 15 umemaliza kila kitu tena uwezi kupotea ukiwa cbd ila dar cbd kila siku wakenya wanapotea mjini
 
Wakenya wacheni utani na dar ....yani Nairobi cbd ukitembea dk 15 umemaliza kila kitu tena uwezi kupotea ukiwa cbd ila dar cbd kila siku wakenya wanapotea mjini
Newyork is 783.8 square kilometers while Dar is 1590 Kilometers square.
 
Hey young man, do you know those Nairobi buses commonly known as nganya? If you know them then here are some facts about them. They are not allowed to pass Nairobi borders crossing to other counties eti wanafanya routes za huko, why can't you then ask yourself some of these question,
Kama hazikubaliwi kufika counties zingine then why are they reaching;
1. Rongai which is in Kajiado county?
2. Why are they reaching Athi River which is in Machakos county ?
3. Why are they reaching Kitengela which is in Kajiado county?
4. Why are they reaching Githurai which is in Kiambu county
5. Why are they reaching Ruaraka in Kiambu county
6. Why are they reaching Ruai which is in Kajiado county.Here are some of the metro buses. You can see clearly zimeandikwa SUPER METRO. Each bus has its own name like ALVIN, ST MICHAEL, ST. GABRIEL ETC but all are have the common SUPER METRO name on their bodies. View attachment 1204661View attachment 1204662View attachment 1204663View attachment 1204664View attachment 1204665
mabas mazur ila hzo sticker znayafanya yaonekane kama mikoche
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom