Uzuri na ukubwa wa Jiji la Nairobi

deecarter

Member
Aug 24, 2019
23
64
Sikuwahi kufahamu kuwa Nairobi ni jiji kubwa kiasi hiko nilijua kuwa Nairobi ni kamji kadogo tu ambako majengo marefu yamerundikana kumbe Nairobi inaweza kulingana na Kariakoo au zipishane kidogo kwa ukubwa wa eneo lililojengeka dah hongera sana wakenya kwa hili.
 
Sasa mtu anaanzisha uzi bila maelezo kamili utadhani yupo mawindoni, ndani kabisa porini. Anamaanisha Nairobi CBD, Nairobi County ama jiji lenyewe kwa ujumla? Jiji la Nairobi sasa hivi ni Metropolis. Nairobi Metropolis imekua hadi ikavuka mipaka ya hapo awali, ya gatuzi la Nairobi, yaani ule mkoa wa zamani. Nairobi Metropolis ni 32,000 square kilometres.
 
Hivi nyie wakenya vichwa vyenu viko sawa!? Hivi unaelewa hata maana ya 32,000 square kilometres!? Unaweza kuleta reference ya hiki ulichoandika!? Unajua 32,000 square km ni zaidi ta nchi ya Rwanda, ni zaidi Belgium.

Tukisema nyie wakenya ni wajinga msilie lie
 
Kabla ya kuanza ubishi wa kipuuzi ungejielimisha kuhusu Metropolis, metropolitan na vitu kama hivyo. Sina la ziada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…