Uzoefu wangu kwa wachangia mada JF

Inasemekana nyie ni jiniaz, mana hamjaona ps kukoment, et mnafikiliaga mbali mno,

Nakuona IQ.
sio hivyo mkuu, mi naona ni muda tu wa kuperuzi jf haupo so mtu unaamua kupita tu na kusoma vilivyo muhimu, japo na popular threads za siku hizi ni mijadala isiyo na faida, ni kama kupoteza muda tu, imekaa kitoto toto sana, watu wanajaribu ku cope na hizi changes but bado inawawia vigumu.
 
Kauzoefu kangu kanaonyesha wakongwe/maarufu hata waanzishe thread au kuchangia pumba husifiwa tu na km ni kukosolewa basi ukosolewa kwa heshima

Sasa wewe ambaye siyo maarufu andika thread ya maana husifiwi kivile na km umeandika pumba tegemea kutukanwa kila sina ya tusi
Utasikia Rudi Facebook
Yani yani yani kuna jibu moja alitoa kiumbe mmoja,, yani jibu la kunya hatariiii jibu la hovyooooo afu alitoa mwanaume sasa alikula likes balaa kwa zile pumb make sio pumba tu.. Mpaka Leo huwa nalikumbuka ile comment nikilinganisha na likes Nacheka kwa dhaaaaraau
Humu kitu afanye A sio Bee

Humu kiki atafute C sio D

Humu kitu aseme kiazi sio muhogo

Humu ni pa kwenda napo kibabe babe ivoivo.... Lasivo hunijui sikujui so pita kuleeeeeeee

Cc Smart911
 
Kuna watu wamechafukwa humu looh,,,ila me naona lengo ni moja kuelimishana bhana tusife moyo,,pia kueka nyuzi zenye mashiko japo Kuna ranks humu lol
 
ukiona mtu anakukera kwa dizain moja ama nyingine hutaki ona comments zake wala kumuona yeye sijui very simple you just block him/her umemalizaaa

Cc Smart911
 
Yani yani yani kuna jibu moja alitoa kiumbe mmoja,, yani jibu la kunya hatariiii jibu la hovyooooo afu alitoa mwanaume sasa alikula likes balaa kwa zile pumb make sio pumba tu.. Mpaka Leo huwa nalikumbuka ile comment nikilinganisha na likes Nacheka kwa dhaaaaraau
Humu kitu afanye A sio Bee

Humu kiki atafute C sio D

Humu kitu aseme kiazi sio muhogo

Humu ni pa kwenda napo kibabe babe ivoivo.... Lasivo hunijui sikujui so pita kuleeeeeeee

Cc Smart911

That's the spirt... Watu wengine humu wanajifanya wajuaji sana... wanajifanya kukerewa na vitu ambavyo hata haviwahusu... jambo au mambo wafanye wao... wakifanya wengine ni laana...
 
That's the spirt... Watu wengine humu wanajifanya wajuaji sana... wanajifanya kukerewa na vitu ambavyo hata haviwahusu... jambo au mambo wafanye wao... wakifanya wengine ni laana...

Hao ni kuwadharau tu na kujali yetu love. Kunya anye kuku.....
 
Back
Top Bottom