ushauri kwa jf na wadau wengine

osieee

JF-Expert Member
Dec 16, 2015
222
232
nashauri nyuzi (thread) zijipange kwenye jukwaa husika kulingana na mda iliopostiwa yani (time setting) ,nikimaanisha tusiangalie utaratibu wa watu kujihusisha kwa idadi kubwa.kwani kuna nyuzi zinapostiwa zinakosa mivuto kwa watu wengi kwa kua tu sio za kinafiki na kimbea na zinakua na logic nyingi sana ndani yake .afu kuna watu wanapost ujinga mwingi sana afu moderators wanaamua sie kulishwa pumba mfano ni yule bwana Mzanaki mwenzangu , ananikera sana n mambo yake ya kitoto toto na mimatusi ovyo
 
wazo bora kabisa, mtusaidie kuwatag moderators walifanyie kazi, kuwa na mtiririko wa post timely ili kutoa fursa kila post kuonekana.
 
Hivi huwa wanasoma na kuzingatia maoni ya walaji? Inakuwaje kina fulani wanawaita wenzao mashoga pasi na ushahidi? Inakuwaje unamwita mtu gaidi nk??
 
Back
Top Bottom