Uzoefu wangu kwa wachangia mada JF

  1. Ukiona umerusha mada ikaanza kuchangiwa kwa kuungwa mkono ujue mwishowake huenda ikaishia kwa kupingwa sana...............hii huenda nachangiwa na kwamba kuna wachangiaji wamejipanga kiitikadi yaani kama uzi utaelekea chama fulani basi atakeyanza inategemea ni wa chama chenye mrengo wa kuunga mkono hoja ama kupinga na baada ya uda wataanza mapovu wenye itikadi nyingine......kiitikadi hapa namaanisha hata wapenzi wa mpira na dini wamo humo.
  2. Wapo wanaosoma tu kichwa cha habari na kwenda mja kwa moja uzi ulipoishia ili achangie msimamo wake
  3. Kuna watu wameumbiwa kuponda tu mada hata iwe ya mrengo gani
  4. Mustakabali wa kuweka au kupewa Like hautabiriki inagwa wengi hufanya kwa malipizi, yaani kama kwake huweki na kwako haweki japo pia wapo wanaweka kwa kuangalia umaarufu/nafasi/itikadi ya mtu maana imenenwa kila mtu na mtuwe
  5. Wachangiaji wengi wa usiku ndi huchangia kimashiko ilihali wale wa mchana wengi ni kama wapita njia tu
Post-Approvals-2_Blog-865x487.jpg

UZI HUU NI LIVING NA UTAKUA UKIJAZIWA KADRI UTAFITI UNAVYOIBUA

...........wewe umegundua nini.....?
Tupia picha
 
Kauzoefu kangu kanaonyesha wakongwe/maarufu hata waanzishe thread au kuchangia pumba husifiwa tu na km ni kukosolewa basi ukosolewa kwa heshima

Sasa wewe ambaye siyo maarufu andika thread ya maana husifiwi kivile na km umeandika pumba tegemea kutukanwa kila sina ya tusi
Utasikia Rudi Facebook
hii mepanda pointi namba 6
 
Ule uzi wako wa makapuku vipi?
 
  1. Mustakabali wa kuweka au kupewa Like hautabiriki inagwa wengi hufanya kwa malipizi, yaani kama kwake huweki na kwako haweki japo pia wapo wanaweka kwa kuangalia umaarufu/nafasi/itikadi ya mtu maana imenenwa kila mtu na mtuwe

  2. Kauzoefu kangu kanaonyesha wakongwe/maarufu hata waanzishe thread au kuchangia pumba husifiwa tu na km ni kukosolewa basi ukosolewa kwa heshima

    Sasa wewe ambaye siyo maarufu andika thread ya maana husifiwi kivile na km umeandika pumba tegemea kutukanwa kila sina ya tusi
    Utasikia Rudi Facebook.
Ukiona hupewi likes au wakongwe/maarufu wanakupiga gap jiunge Makapuku Forum, kule ni jukwaa la wanyonge.

Check na Bailly5 au Bitoz kwa usajili.
 
  1. Ukiona umerusha mada ikaanza kuchangiwa kwa kuungwa mkono ujue mwishowake huenda ikaishia kwa kupingwa sana...............hii huenda nachangiwa na kwamba kuna wachangiaji wamejipanga kiitikadi yaani kama uzi utaelekea chama fulani basi atakeyanza inategemea ni wa chama chenye mrengo wa kuunga mkono hoja ama kupinga na baada ya uda wataanza mapovu wenye itikadi nyingine......kiitikadi hapa namaanisha hata wapenzi wa mpira na dini wamo humo.
  2. Wapo wanaosoma tu kichwa cha habari na kwenda mja kwa moja uzi ulipoishia ili achangie msimamo wake
  3. Kuna watu wameumbiwa kuponda tu mada hata iwe ya mrengo gani
  4. Mustakabali wa kuweka au kupewa Like hautabiriki inagwa wengi hufanya kwa malipizi, yaani kama kwake huweki na kwako haweki japo pia wapo wanaweka kwa kuangalia umaarufu/nafasi/itikadi ya mtu maana imenenwa kila mtu na mtuwe
  5. Wachangiaji wengi wa usiku ndi huchangia kimashiko ilihali wale wa mchana wengi ni kama wapita njia tu
  6. Kauzoefu kangu kanaonyesha wakongwe/maarufu hata waanzishe thread au kuchangia pumba husifiwa tu na km ni kukosolewa basi ukosolewa kwa heshima

    Sasa wewe ambaye siyo maarufu andika thread ya maana husifiwi kivile na km umeandika pumba tegemea kutukanwa kila sina ya tusi
    Utasikia Rudi Facebook.
  7. Na tupo ambao wa tunapita tu bila kuacha hata comment kama hatupo vile
Post-Approvals-2_Blog-865x487.jpg

UZI HUU NI LIVING NA UTAKUA UKIJAZIWA KADRI UTAFITI UNAVYOIBUA

...........wewe umegundua nini.....?
nimegundua kua humu hakuna ADD ME CLOSE
 
Kauzoefu kangu kanaonyesha wakongwe/maarufu hata waanzishe thread au kuchangia pumba husifiwa tu na km ni kukosolewa basi ukosolewa kwa heshima

Sasa wewe ambaye siyo maarufu andika thread ya maana husifiwi kivile na km umeandika pumba tegemea kutukanwa kila sina ya tusi
Utasikia Rudi Facebook
Siyo kweli. Umaarufu ampelekee mama yake. Hapa akileta ubishoo wa kuvaa nyanyapuza anakula makwenzi ya utosini mpaka aimbe hallelujah!
 
Back
Top Bottom