HOST NOT FOUND
JF-Expert Member
- Dec 30, 2023
- 1,186
- 3,479
Wapendwa wabaguzi sana 😢, wanatubagua wengine tena tukifanya wanaita dhambi ya uzinziNi wapendwa!
Wapendwa wabaguzi sana 😢, wanatubagua wengine tena tukifanya wanaita dhambi ya uzinziNi wapendwa!
Si ubaguzi tu.Ni wachoyo na wabinafsi.Kuimba aimbe kasuku,bata ana mafua.Wapendwa wabaguzi sana 😢, wanatubagua wengine tena tukifanya wanaita dhambi ya uzinzi
Iko vizuri sana hii...Binadamu anapoingia kwenye uzinzi anaweza kuanza kubadilisha kabisa namna anavyofikiri na kufanya maamuzi. Tamaa inapopewa nafasi ya kutawala akili, mtu anaweza kuanza kufanya mambo ambayo akiwa ametulia angejua wazi kuwa ni mabaya.
Uzinzi unaweza kuifanya tamaa itawale akili yako.
Unaanza kufikiria starehe ya muda mfupi kuliko matokeo ya muda mrefu.
Unaanza kuficha ukweli na kusema uongo ili kulinda unachokifanya.
Unaweza kuanza kufuta meseji, kuficha mawasiliano na kuishi maisha ya siri.
Uzinzi unaweza kuvunja uaminifu.
Wapo wanaowadanganya wenza wao na familia zao.
Wapo wanaopoteza mahusiano mazuri kwa sababu ya tamaa ya muda mfupi.
Wapo wanaoingia kwenye migogoro, wivu na chuki kwa sababu ya mahusiano ya siri.
Wengine wanaharibu ndoa na kuumiza familia zao.
Uzinzi unaweza kukufanya ufanye maamuzi bila kufikiria matokeo.
Unaweza kupoteza heshima na kuharibu jina lako.
Unaweza kuvuruga masomo, kazi na malengo yako kwa sababu akili yako imejaa mahusiano ya siri na tamaa.
Unaweza kuingia kwenye migogoro mikubwa ambayo haikuwepo kabla.
Kadiri unavyozoea kuvunja mipaka yako, ndivyo unavyoweza kuanza kuona jambo baya kuwa la kawaida.
Uongo unakuwa kawaida.
Kuficha mambo kunakuwa kawaida.
Kusaliti uaminifu kunakuwa kawaida.
Na dhamiri yako inaweza kuacha kukusumbua kama ilivyokuwa mwanzo.
Usikubali tamaa ya muda mfupi ikuamulie maisha yako ya muda mrefu.
Linda akili yako.
Linda maamuzi yako.
Linda heshima yako.
Linda uaminifu wako.
Linda maisha yako ya baadaye.
Uzinzi unaua akili yako. Acha uzinzi.
Acha uzinzi, mwamini YesuBinadamu anapoingia kwenye uzinzi anaweza kuanza kubadilisha kabisa namna anavyofikiri na kufanya maamuzi. Tamaa inapopewa nafasi ya kutawala akili, mtu anaweza kuanza kufanya mambo ambayo akiwa ametulia angejua wazi kuwa ni mabaya.
Uzinzi unaweza kuifanya tamaa itawale akili yako.
Unaanza kufikiria starehe ya muda mfupi kuliko matokeo ya muda mrefu.
Unaanza kuficha ukweli na kusema uongo ili kulinda unachokifanya.
Unaweza kuanza kufuta meseji, kuficha mawasiliano na kuishi maisha ya siri.
Uzinzi unaweza kuvunja uaminifu.
Wapo wanaowadanganya wenza wao na familia zao.
Wapo wanaopoteza mahusiano mazuri kwa sababu ya tamaa ya muda mfupi.
Wapo wanaoingia kwenye migogoro, wivu na chuki kwa sababu ya mahusiano ya siri.
Wengine wanaharibu ndoa na kuumiza familia zao.
Uzinzi unaweza kukufanya ufanye maamuzi bila kufikiria matokeo.
Unaweza kupoteza heshima na kuharibu jina lako.
Unaweza kuvuruga masomo, kazi na malengo yako kwa sababu akili yako imejaa mahusiano ya siri na tamaa.
Unaweza kuingia kwenye migogoro mikubwa ambayo haikuwepo kabla.
Kadiri unavyozoea kuvunja mipaka yako, ndivyo unavyoweza kuanza kuona jambo baya kuwa la kawaida.
Uongo unakuwa kawaida.
Kuficha mambo kunakuwa kawaida.
Kusaliti uaminifu kunakuwa kawaida.
Na dhamiri yako inaweza kuacha kukusumbua kama ilivyokuwa mwanzo.
Usikubali tamaa ya muda mfupi ikuamulie maisha yako ya muda mrefu.
Linda akili yako.
Linda maamuzi yako.
Linda heshima yako.
Linda uaminifu wako.
Linda maisha yako ya baadaye.
Uzinzi unaua akili yako. Acha uzinzi.
maadamu wote wanafanya choir ya kujihesabia haki 😀Si ubaguzi tu.Ni wachoyo na wabinafsi.Kuimba aimbe kasuku,bata ana mafua.
Wana ulimi/maneno laini kama ibilisi.Nawatania tu.Teh teh teh!maadamu wote wanafanya choir ya kujihesabia haki 😀
wengine wanajifanya malaika mchana, usiku wanakuwa mashetani wa overtime 😂
Hawa watu wanataka tuishi kamq malaika wa kufikirika, wakati wao wanajua vizuri kabisa binadamu hatujaletwa duniani kuuza sura.Hawa na wasabato lao moja.
Kwamba kushauri uache uzinzi ni kitu kibayaUmekosa kabisa vitu vya kushauri mkuu?🤔
Huu ulioandika ndyo ukweli ila wazinzi hawatakuelewaBinadamu anapoingia kwenye uzinzi anaweza kuanza kubadilisha kabisa namna anavyofikiri na kufanya maamuzi. Tamaa inapopewa nafasi ya kutawala akili, mtu anaweza kuanza kufanya mambo ambayo akiwa ametulia angejua wazi kuwa ni mabaya.
Uzinzi unaweza kuifanya tamaa itawale akili yako.
Unaanza kufikiria starehe ya muda mfupi kuliko matokeo ya muda mrefu.
Unaanza kuficha ukweli na kusema uongo ili kulinda unachokifanya.
Unaweza kuanza kufuta meseji, kuficha mawasiliano na kuishi maisha ya siri.
Uzinzi unaweza kuvunja uaminifu.
Wapo wanaowadanganya wenza wao na familia zao.
Wapo wanaopoteza mahusiano mazuri kwa sababu ya tamaa ya muda mfupi.
Wapo wanaoingia kwenye migogoro, wivu na chuki kwa sababu ya mahusiano ya siri.
Wengine wanaharibu ndoa na kuumiza familia zao.
Uzinzi unaweza kukufanya ufanye maamuzi bila kufikiria matokeo.
Unaweza kupoteza heshima na kuharibu jina lako.
Unaweza kuvuruga masomo, kazi na malengo yako kwa sababu akili yako imejaa mahusiano ya siri na tamaa.
Unaweza kuingia kwenye migogoro mikubwa ambayo haikuwepo kabla.
Kadiri unavyozoea kuvunja mipaka yako, ndivyo unavyoweza kuanza kuona jambo baya kuwa la kawaida.
Uongo unakuwa kawaida.
Kuficha mambo kunakuwa kawaida.
Kusaliti uaminifu kunakuwa kawaida.
Na dhamiri yako inaweza kuacha kukusumbua kama ilivyokuwa mwanzo.
Usikubali tamaa ya muda mfupi ikuamulie maisha yako ya muda mrefu.
Linda akili yako.
Linda maamuzi yako.
Linda heshima yako.
Linda uaminifu wako.
Linda maisha yako ya baadaye.
Uzinzi unaua akili yako. Acha uzinzi.
Uzinzi ni dhambi. Mshahara wa dhambi ni mauti. Mauti ni kifo. Uzinzi Unaua akili. Uzinzi unaua ufahamu. Uzinzi unaua mwili. Uzinzi unaua viungo vyako. Uzinzi unaua maisha yako. Uzinzi unaua mahusiano yako. Uzinzi unaua ndoa yako. Uzinzi ni mlango wa kuingiza roho chafu za laana na mikosi katika mwili wako.
Ukikubali kuwa uzinzi ni dhambi halafu ukaendelea kuufanya kama kawaida, unajenga maisha ya kuujua ukweli lakini kutembea kinyume na ukweli huo. Kadiri unavyoendelea, dhambi inaweza kuanza kuathiri maisha yako ya kimwili na ya kiroho.
Kiroho, Mwanzo dhamiri yako inakusuta. Unajua umefanya jambo lisilo sawa mbele za Mungu. Lakini ukiendelea kulirudia bila kutubu na kugeuka, unaweza kuanza kulizoea.
Maombi yanaweza kupoteza uzito katika maisha yako.
Unaweza kuanza kujificha mbele za Mungu badala ya kumkaribia kwa toba.
Dhamiri yako inaweza kuanza kuwa ngumu.
Unaanza kutafuta sababu za kuhalalisha kile ambacho tayari unajua ni dhambi.
Uhusiano wako na Mungu unaweza kudhoofika kwa sababu unashikilia kwa makusudi jambo ambalo imani yako inakutaka uliachane nalo.
Hatari kubwa ni kufika mahali ambapo dhambi haikusumbui tena.
Ulichokuwa unakiogopa, unakizoea.
Ulichokuwa unakiri kuwa ni dhambi, unaanza kukitetea.
Ulichokuwa unakiombea msamaha, unaanza kukifanya bila kujali.
Kimwili na katika maisha ya kawaida
Uzinzi unaweza pia kuleta matokeo yanayoonekana katika maisha.
Unaweza kuvunja uaminifu katika ndoa au mahusiano.
Unaweza kuleta migogoro na kuvunjika kwa familia.
Uongo na maisha ya siri yanaweza kuwa sehemu ya maisha yako.
Unaweza kupoteza amani kwa sababu ya kuficha mambo na kuogopa kugundulika.
Maamuzi ya kingono yasiyo salama yanaweza pia kuleta hatari za kiafya na mimba zisizotarajiwa.
Migogoro inayotokana na usaliti inaweza kuathiri familia, watoto, kazi na mahusiano yako na watu wengine.
Haya yote ndiyo uharibifu: dhambi inaanza katika eneo moja, lakini matokeo yake yanaweza kusambaa katika maeneo mengine ya maisha.
Uharibifu wa kiroho unaweza kuanza kwenye dhamiri.
Uharibifu wa kimwili unaweza kuonekana kwenye afya na maisha yako.
Uharibifu wa mahusiano unaweza kuonekana kwenye kupotea kwa uaminifu na amani ya familia.
Kwa hiyo usiseme tu, Najua uzinzi ni dhambi, huku ukiendelea nao kama kawaida.
Kama umekubali ni dhambi, ikatae.
Kama umeanguka, tubu na geuka.
Usiifanye dhambi kuwa maisha ya kawaida.
Na kukaa karibu na Mungu.Bora kuanza kucheza bao na kubugia kahawa.Kila tunachogusa tunaelezwa ni kibaya tu.
Kuna sexiual transmission curse na sexual transmission demons.Tofauti na ukimwi na magonjwa ya zinaa uzinzi hauna shida kabisa , tiba na kinga zikipatikana tutazichapa mpaka zifuke moshi
Blabla za kiimani tu hakuna kitu humoKuna sexiual transmission curse na sexual transmission demons.
Tofauti na ukimwi, mengine yote yanazungumzika. Uzinzi una mizizi mirefu, ngoja kwanza tuzini kidogo, itafika stage tutaacha tu wenyewe bila shuruti.Tofauti na ukimwi na magonjwa ya zinaa uzinzi hauna shida kabisa , tiba na kinga zikipatikana tutazichapa mpaka zifuke moshi
Hapo tu bwashee, tofauti na hivyo kwa siku unachapa hata 20 bila wasiwasi kabisaTofauti na ukimwi, mengine yote yanazungumzika. Uzinzi una mizizi mirefu, ngoja kwanza tuzini kidogo, itafika stage tutaacha tu wenyewe bila shuruti.
Uzuri ni kuwa waÄ·ati utafika mwenyewe unaamua kutundika daluga, yaani mwili, akini na nguvu zinakuambia kabisa huwezi tulia, mda wako umeisha.Hapo tu bwashee, tofauti na hivyo kwa siku unachapa hata 20 bila wasiwasi kabisa