Imany John
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 2,937
- 1,193
Mkuu tambua ya kuwa ccm hawashindwi kitu, na hasa kitu chenyewe kikiwa cha kuhatarisha maslahi yao.
Any ways tuendelee kusubiri.
Ccm na mkataba wa televisheni wanahusiana vipi?
Watalipa gharama za kuvunja mkataba kama hawatarusha iyo kitu.