Uzinduzi wa kampeni za uchaguzi Arumeru (CHADEMA)

Mkuu we hakikisha simu yako ama pc yako iko vizuri, crashwise atawakilisha vizuri. Hawa tanesco wanaweza kufanya hujuma ya kukata umeme ili wananchi wasishuhudie live kinachotokea Leganga. Nimeambiwa wamekata umeme mwanza, huko Arusha sijui kama wataacha umeme uwake!
Iringa umeme umekatwa, m2juze kinachoendelea makamanda, laana ya watz itawatafuna magamba kwa hizi hujuma zenu za waziwazi
 
Iringa umeme umekatwa, m2juze kinachoendelea makamanda, laana ya watz itawatafuna magamba kwa hizi hujuma zenu za waziwazi

Baada ya safari ndefu toka Mbeya hatimaye nipo eneo la tukio ambapo uzinduzi unafanyika hakika mambo si mabaya.
 
Mzee Mtei anaingia ukumbini anapokelewa na Zitto Kabwe, watu wanakimbia kwenda kumshangaa na kumshangilia.
 
Iringa umeme umerudi nw ila sina imani na tanesco hata kidogo dakika yoyote wanaweza kukata tena. Cdm juu juu zaidi. Kila la kheri makamanda
 
Uzinduzi umepambwa na mbwembwe nyingi sana kuna kikosi cha farasi nacho kinachagiza katika shamra za uzinduzi wa Joshua Nassari.
 
Star TV hapa Arusha saa hizi siipati au ndo mbinu za kutuzuia kuona.
 
chopa ndiyo inaingia na inazunguka hapa kabla ya kutua na kuibia firijo jukwaani
 
Mkuu we hakikisha simu yako ama pc yako iko vizuri, crashwise atawakilisha vizuri. Hawa tanesco wanaweza kufanya hujuma ya kukata umeme ili wananchi wasishuhudie live kinachotokea Leganga. Nimeambiwa wamekata umeme mwanza, huko Arusha sijui kama wataacha umeme uwake!

Mkuu niko mbele ya TV lakini huku Ukonga umeme kamwe hautabiriki
 
Mbowe anapokelewa na Zitto, naona viongozi wa police wanakodo macho hawaamini kinachojiri ni full amani na vidole juu tu.
 
Kila wandishi wa habari wanajitahidi kupata matukio, Joshua Nassari naye ameshaingia uwanja wa mapambano.
 
juu2.jpg juu2.jpg juu3.jpg
 
startv wataonesha kuanzia saa tisa. nmeangalia sasa hivi bado wanapiga mziki channel O. Si mda mrefu watajiunga.

Namuona Ramadhan Mvungi yupo jukwaa kuu kuhakikisha umma unapata tukio hilo bila mawaa, hali kadhalika wanaJF wapo kuhakikisha angalau update na picha zinapatikana.
 
Back
Top Bottom