Uzinduzi wa kampeni za uchaguzi Arumeru (CHADEMA)

Kume inasemekana???
halafu msiwe wagumu sana kuelewa...soma hii statement hapa "all the official organs responsible for dealing with citizenship issues in the country have confirmed that Sumari is a citizen"

hakuna cha citizen wala citizantel hapa, Ccm kwa hili mumeshikwa pabaya. na hili pingamizi litawalia kidole.
 
Hongereni sana makamanda mlioko uwanja wa mapambano.Mungu yuko upande wetu.Hakika tutashinda.
 
Mkuu Crashwise,tafadhali tujuze maandamano yanavyoendelea.Mmefika wapi?
 
Mkuu Crashwise,tafadhali tujuze maandamano yanavyoendelea.Mmefika wapi?

Mkuu we hakikisha simu yako ama pc yako iko vizuri, crashwise atawakilisha vizuri. Hawa tanesco wanaweza kufanya hujuma ya kukata umeme ili wananchi wasishuhudie live kinachotokea Leganga. Nimeambiwa wamekata umeme mwanza, huko Arusha sijui kama wataacha umeme uwake!
 
natamani chaguzi hizi ziwe zinafanyika quarterly..hlaahaaaa CCM wanaweza kufa kwa shambulio la moyo
 
Mkuu mbona nasikia Zitto Kabwe atazindua kampeni Mwanza kitika mtinange wa kiti cha udiwani?
Zitto jana alizindua campaign za udiwani vijibweni - Kigamboni, leo ni Arumeru na kesho atazindua Mwanza. Hakuna kulala mpaka kieleweke
 
Tulianza na Mungu Tutamaliza na Mungu,

wao, Walianza na rushwa watamaliza kwa aibu.
 
Msafara wa kutokea King'ori umefika, viongozi wa dini ndio wanaingia, naona mashehe ndio wanaingia.
Tunamsubiri Mbowe na viongozi wengine.
 
Back
Top Bottom