Uzinduzi wa kampeni za uchaguzi Arumeru (CHADEMA)

Uzinduzi wa kampeni za uchaguzi Arumeru (CHADEMA)

Yaeleke saa tisa na nusu sasa lakini naona star tv bilabila. Sijui kulikoni. Au hawa jamaa wa 'Ujama na kujitegemea' wameingilia kati?
 
Wazeee mbona startv hakuna kitu ni tamthilia tu ya kiphillipino kulikoni wakuu zoezi hilo limeshindikana tutarifiwe basi.
 
Star tv wametishiwa nini? Mbona tamthiliya tu mpaka muda huu...hakuna tv nyingine inayoonyesha...
 
Star tv naona Ob van yao hapa.shughuli inaanza.kamanda nyerere hewani
 
Nahisi magamba washafanya mambo yao!....chezea ccm wewe!!!?

Kama chama kimelipia mda wa hewani lazima warushe,maana ni mkataba umeingiwa baina ya starTV na CHADEMA.
Nadhani ukikiukwa kuna mambo ya kufuatwa ya kisheria zaidi.
 
Wakuu komaeni kutupa update na picha live nimeamua kutumia resouce nilizonazo laptop mbili zinacharge zote,HTC na Moderm hata magamba wakate umeme nitakuwa hewani tu tuvuzeni wakuu.
 
Mimi mbona niko nafuatilia live kupitia Star Tv? Tv yako aina gani mkuu? Hebu jaribu tena huenda walikuwa hawajajiunga.
 
Star tv wametishiwa nini? Mbona tamthiliya tu mpaka muda huu...hakuna tv nyingine inayoonyesha...
Jamani hivi ni kweli hichikitu kinawezekana? yaani ccm hawa ninaowajua mimi wanaweza kuruhusu kitu kama hicho
kitokee kweli? Any way yangu macho....naendelea kusubiri miujiza hii kama itageuka na kuwa kweli
 
Mchungaji Christopher anaongea hapa ili uzinduzi uanze.
 
Wazee hilo sasa changa hawa startv vipi wakuu au mkataba haukuingiwa au hujuma ya magamba?
 
Kama chama kimelipia mda wa hewani lazima warushe,maana ni mkataba umeingiwa baina ya starTV na CHADEMA.
Nadhani ukikiukwa kuna mambo ya kufuatwa ya kisheria zaidi.
Mkuu tambua ya kuwa ccm hawashindwi kitu, na hasa kitu chenyewe kikiwa cha kuhatarisha maslahi yao.
Any ways tuendelee kusubiri.
 
Mpaka sasa star tv bado wameweka tamthilia.. Tupeni feedback, uzinduzi umeshaanza?
Sie wa mikoani tv zetu zipo standby kuona makamanda wetu wakinadi sera..
 
Mimi mbona niko nafuatilia live kupitia Star Tv? Tv yako aina gani mkuu? Hebu jaribu tena huenda walikuwa hawajajiunga.

Gud reply,ni vizuri updates zikawa zinawai mana sio wote wenye access na tv.
Mjaribu kuwa faster kidogo.
 
Mimi mbona niko nafuatilia live kupitia Star Tv? Tv yako aina gani mkuu? Hebu jaribu tena huenda walikuwa hawajajiunga.
We muongo wewe ni gamba tu jinsi unavyoonekana ulikuwa umelala na mkeo au bekitatu wako nini mbona unakurupuka.
 
Back
Top Bottom