Uchaguzi 2020 Uzinduzi wa Ilani ya ACT–Wazalendo, Kutoa Ajira mpya milioni 10. Zitto asema CCM ilitekeleza 31% ya ilani ya mwaka 2015

ACT wazalendo wameanza vizuri sasa wale wakina oya oya wanaotafuta kura za huruma waje wajifunze hapa.
 
Kuna budget za serikali kama uvuvi na kilimo hazijawai kufika 65% ya utekelezaji toka mwaka 2015.

Mfano Ni kiasi gani Cha pesa kimepotea kwa mfano chukulia Labda budget ya kilimo ni 200,000,000,000x( 35/100)= 70 bilion.....
Ila ccm akili huwa zinaruka mara nyingine, et lijitu linakwambia tumeibiwa sana wakati nyinyi wenyewe ccm ndiwo mlikuwa mnasaini mikataba na mibovu na wakoloni haohao, misaada hampati toka kwa hao wakoloni basi mnawaita mabeberu.
 
Bora hata hawa wana appreciate kwanza then wanaongea mbadala kuna lichama flan wao ni hovyo sjawahi ona
 
Lissu ametua KIA na bombardier yetu, akifika Arusha atawaambia kuboresha miundo mbinu ni hasara
Hii ni Bombardier?
Ccm ni waongo,matapeli na walaghai.
Uongo ni ushetani. Baba wa uongo ni....
2503641_Mchana_wa_leo_Agosti_31_2020_mgombea_urais_wa_JMT_kupitia_ChademaTz_Mhe._Tund__451_X_6...jpg
 
Magufuli aliahidi kutengeneza ajira 8 million,mkapinga kwa machozi ya damu,

Ila nyie mnaahidi 10 million,

Huu ni unafiki wa kiwango cha juu sana.
 
Membe yuko ACT kuvuta muda na kusoma alama za nyakati. Upepo wa ngosha ukishapita anarejea tena CCM.

Jamaa ni muoga na amepwaya sana kwenye siasa za upinzani. Hata kuiponda CCM anaogopa kufanya hivyo hadharani. Yaani unaweza kumuona Lowassa kama alikuwa shujaa katika hilo ukimlinganisha na huyu Membe.
 
Nahisi hapa kuna chama kimoja tu kinachostahili kuongoza nchi ila vingine hivi ni rahisi sana kupandikiza damu yako na ukabadili upepo wa cgama kizima kiukwel inakera sijui kwanini hivi vyama havijifunzi kupokea pokea tu hovyo watu wenye spirit zao upande wa pili
 
Yeye zito kabwe ametekereza mangapiii pale kigoma? Waha halingumu saaana, waha wako kariibu na ziwa Tanganyika, lakini, kuanzia gungu, masanga, nazareti, mwanga n.k .n.k. Hamna atatone la maji kama hunakisima unahali mbayaaa huku zito akishinda mahakamani na makesi yasiyoisha na kuuuterekeza mkoa wa kigomaa
Sijui huwa hamuelewi au Ni ujinga na Kila siku mzee baba anakwambia kabisa yet hapeleki pesa kwenye Jimbo la upizani
 
Back
Top Bottom