Uchaguzi 2020 Uzinduzi wa Ilani ya ACT–Wazalendo, Kutoa Ajira mpya milioni 10. Zitto asema CCM ilitekeleza 31% ya ilani ya mwaka 2015

Ki
Unasema Kigoma hamna kilichofanyika, kisha unasema si wameleta maendeleo, kama sio utoto ni nini?
Kigoma zito kashindwaaa kuletaa maendeleo, hivyo inatakiwa apumzishwee harakaaa saaaanaaaa. Ilikuokoa mkoa huo usididimiee.

Matusi endelea kutukana hata mtendewa miujiza wenuuu ndo baba yenu kwamatusi adi anakera saanaaaa.
 
Ki

Kigoma zito kashindwaaa kuletaa maendeleo, hivyo inatakiwa apumzishwee harakaaa saaaanaaaa. Ilikuokoa mkoa huo usididimiee.

Matusi endelea kutukana hata mtendewa miujiza wenuuu ndo baba yenu kwamatusi adi anakera saanaaaa.
Kwa hio mkoa mzima anaurudisha nyuma kimaendeleo??

Vp lindi mtwara na ruvuma??
 
Kuna upinzani hapa kweli???

Maana naona akili imebaki ilikotoka ila mwili tu ndio upo ulipo sasa

 
Mbona kawaida sana? Nimeona mmeshikia bango utadhani hana kingine cha maana aliongea baada ya hapo
 
Hujajibu hoja hata moja zaidi naona unapuyanga tuu, bora wewe ndio ukae kimya..

Tatizo lako ni elimu yako ni ya kuungaunga; huelewi chochote kuhusu maendeleo yanavyopatikana.
Elewa hivi japo kiduchu; maendeleo hayaji usiku mmoja balli ni mipangilio na mikakati ya muda. Mfano, mipango ya muda mfupi, muda wa kati na muda mrefu.

Rais wa Tanzania , Mhe. Dr. Magufuli na serikali yetu ya CCM tunaleta maendeleo kwa awamu mwisho wa awamu zote za serikali hii ya awamu ya Tano utajionea hatua ambayo nchi yetu itakuwa imepiga kimaendeleo.

Mfano, Jiulize na jieleweshe kwa mfano huu mdogo tu kuhusu maendeleo ya Chama cha Zitto - ACT WAZALENDO na hao CDM tangia vimeanzishwa ni kwa nini havijaweza kujenga ofisi za vyama vyao katika nchi nzima?.
Hiyo ni mifano rahisi sana kwako kuelewe kuwa ZITTO KABWE Z ni miongoni mwa watu wenye akili kidogo sana hajui alisemalo. Ikumbukwe kuwa Zitto ana shahada ya Uchumi kutoka chuo kikuu cha UDSM kama kanuni ndogo tu ya maendeleo inamshinda basi bado wanasiasa wa upinzani walio wengi wanahitaji kuanza upya masomo ya Chekechea hadi vyuo vikuu ili kujifunza upya.

Rais wa Tanzania ni Mhe. Dr. Magufuli.
 
Mbona kawaida sana? Nimeona mmeshikia bango utadhani hana kingine cha maana aliongea baada ya hapo
Ni kawaida sana ndio maana nlishangaa anataka kuhama chama chake alidhani itakuwa rahisi 😂😂 nyumbani ni nyumbani tu hawezi kusahau alikotoka na mawazo yake yametawaliwa sana na alikotoka, Heri angetulia tu ccm aombe hata kazi ndogo ndogo
 
Kwa mtu aliekaa mahali for more than 40 yrs mambo kawaida sana.. ahsante Eli
Kama hakuwa tayari kuwasahau hao ccm hakuwa competent kuwa act, ni heri angebaki tu ccm wampangie hata kazi ya mwenyekiti wa kata ingemfaa maisha yangeendelea fresh tu.

Hata Trump alikuwa Democrat lakini hawezi kudiriki kufanya alichofanya mr Mmembe, Hawezi kujicontrol, Ataweza kui control nchi kweli????
 
Hiyo video mbona kama imetengenezwa tazama mdomo unavyobehave na maneno yanayotoka ni vitu tofauti, na pia imekatwa makusudi. Kwa wataalam wa video imetengenezwa hiyo. Mimi sina chama nimetoa maoni kama neutral person
 
Haoni hata rangi na sura ni tofauti mpaka ateleze kiasi hicho? Lakini hiyo ndio maana ya ACT-Wasiokuwa wazalendo.
Brother bora umefunguka, Hatuwezi kuchukulia poa vitu hivi kwenye vitu vinavyohusu Taifa, Ni heri kwenda ukweni kutoa posa na ukateleza ulimi kutaja jina la ex wako mieachana badala ya mke wako kuliko kufanya alichofanya huyu mzee,
 
Hiyo video mbona kama imetengenezwa tazama mdomo unavyobehave na maneno yanayotoka ni vitu tofauti, na pia imekatwa makusudi. Kwa wataalam wa video imetengenezwa hiyo. Mimi sina chama nimetoa maoni kama neutral person
Acha kuleta porojo zako mkuu, ina maana wewe ndio umejulia video hii humu??, Huangaliagi matukio haya yakiwa yanarushwa live kwenye Tv au tv ipo kwajili ya kuangalia tu Wakata viuno wa bongo flava!!!,
 
Back
Top Bottom