Hatari hii sasa 😁😁😁
NiceBreakfast ya kuaga mwezi NjanuaryView attachment 2091279
Nimeikumbuka tena hii
View attachment 2088509
Mwezi ulisumbua acha uende zakeNice
Pole sana mkuuNjaa jamani njaa
wtf is problem with you?
punguza jazba mkuuwtf is problem with you?
hizo mada zako peleka jukwaa la afya we fala hapa ni misosi tu.
leo mboga za majani zimepumzika dia
Nanasi za kuchoma zina ladha gani?
Matam sanaNanasi za kuchoma zina ladha gani?
Hali ya hewa imetia nongwa 🙁leo mboga za majani zimepumzika dia