Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,902
- 95,418
Ukipata chapati pia shwari!Hii mboga inaliwa na niniView attachment 1867648
Mimi ningekula na ugaliHii mboga inaliwa na niniView attachment 1867648
Nawaletea ITALIAN FOOD, waitaliano kwa vyakula ni namba moja duniani tena kwa mapishi mbalimbali ya vyakula wao wanaogoza, wao ni maarufu sana kwa SPAGHETTI (tambi) wenyewe huiita "PASTA" hii tambi yenyewe kuna yakawaida na nyingine wanayoita MACORONI na hutafautiana katika mapishi na mchanganyiko wa viungo mbalimbali na nyama.View attachment 1867509View attachment 1867510View attachment 1867511View attachment 1867512View attachment 1867513View attachment 1867516View attachment 1867518View attachment 1867520
Tena kitamu zaidi ya maelezo
Dah fallen King Jogoo👊
AiseeeeAnayejisikia kula pilau aje nimpe location .
View attachment 1867748
Sent using Jamii Forums mobile app
Nirahisi kukipata, ukitembelea Restaurant's hizo(ramani) za Italian foods