Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 49,654
- 68,616
Vumilia tu vyakula vya chuo vina mwisho mama
Hawa watu wa hiyo restaurant hawako serious na kazi, huto tu chips hiyo, kachumbari, dah utasema wamelazimishwa
Uzi wa kutiana njaa tuView attachment 1526333
Hahahaha, Mbuzi Katoliki hynyama ya nin hii ina ngozi?
Naam!
nyama ya nin hii ina ngozi?
Ewaaaa..Hahahaha, Mbuzi Katoliki hy
Kwanza nimefurah kuwa umeonekana tena baada ya kupotea kwa muda mwalimu wa mimiView attachment 1526648
Chocolate cake work of my hands
Inna nipo hapa na mimi nakusikiliza katika hiliNtakuelekeza hyo kitu rahisi sana kupika kwenye rojo lake ndo ngumu