Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,363
- 31,504
Nimeitamani sana hiyo juisi
Ni mchanganyiko wa matunda gani?
Nimeitamani sana hiyo juisi
bufee
Shiba kwa imani!
Cadey njoo ufafanue huku , mi nakulaga tu Mkuu
Ahsante sana mkuu, sikuwahi kulisikia hilo neno. Nimelisikia juzi ndio nikaja hapa kutafuta maana yake.Bufee au kwa usahihi ni Buffet food/Buffet table ni Mfumo mzima ambao huandaliwa ili watu waweze kujisevia chakula
View attachment 1224726
Hiki ndo chakula bana, harage la maziwa na nazi.
Ina maana huwa haudhurii ata harusi jamaniCadey njoo ufafanue huku , mi nakulaga tu Mkuu
👌🏾Hiki ndo chakula bana, harage la maziwa na nazi.
Je una coffeemaker ?Mkuu kwema Asee napenda sana kujua kutengeneza Cuppuchino na other coffee material unaweza toa msaada
Habari yako man!Mkuu kwema Asee napenda sana kujua kutengeneza Cuppuchino na other coffee material unaweza toa msaada
Beef Mandi.
MAJI CHUMVI ndio UGONJWA wangu huu
Hiki ndo chakula bana, harage la maziwa na nazi.