Joowzey
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 13,089
- 13,308
Gm too naona umeamkia hotelini
Gm too naona umeamkia hotelini
Halafu Cadey🤔
Gm too naona umeamkia hotelini
Nakuja kwako this weekend nipunguze kitambiWale wa dietView attachment 1205390
karibu sanaNakuja kwako this weekend nipunguze kitambi
Vidole vilikuwa na ushirikiano na unga
Umepikaje hii dear?
Huwa najitahidi kufanya diet once a year,nikiona nimeongezeka kidogo huwa sibweteki mazoezi siwezi,napenda kula Ndiyo lakin huwa kuna siku inapita nikisha pata breakfast nasahau kabisa kula nakuja kukumbuka kesho yako kuwa jana sikula na buffet za hotels najua kuzitendea haki ipasavyoDia unabalance vipi ishu ya uzito? Siri yoyote unayotumia kubalance uzito?
Maana wewe ni mpenzi wa kula inaonyesha
Huwa najitahidi kufanya diet once a year,nikiona nimeongezeka kidogo huwa sibweteki mazoezi siwezi,napenda kula Ndiyo lakin huwa kuna siku inapita nikisha pata breakfast nasahau kabisa kula nakuja kukumbuka kesho yako kuwa jana sikula na buffet za hotels najua kuzitendea haki ipasavyo